Fumanizi!!

Fumanizi!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,889
Reaction score
29,694
Habari zenu wana-MMU!

Katika jamii zetu kumekuwa na matukio ya kufumaniana kila kukicha na hii imekuwa jambo la kawaida sana,.

Katika nyumba nyingi za wageni matukio haya yanashika kasi sana ukizingatia mambo kama haya ni kuingilia faragha ya wapenzi,.

Watu wanapoingia gesti ni vyema wakapewa ulinzi tosha mpaka hapo watakapomaliza haja zao pasipokuingiliwa na watu wengine,.

Inashangaza sana mtu anapata mwanya wa kuingilia faragha ya watu wanaojipa raha zao,.

Hata kama ni mpenzi wako ni vyema ukavumilia mpaka hapo watakapomaliza haja zao maana angekuwa mpenzi wako kweli asingekufanyia anachokufanyia kwa wakati huo,.

Wamiliki wa gesti ni vyema mkaboresha ulinzi ili asijekutokea mtu ambaye anataka kuingia kwenye chumba cha wapenzi wanaopeana raha zao maana hii inapelekea kuleta vurugu kubwa na hata kusababisha mauaji ambayo yangeweza kuepukika kama ulinzi ungeboreshwa maeneo hayo!!
 
Hivi mkuu ulifikiria kwa makini haya uliyoandika kabla ya kuyaweka hapa?
 
kwa maana nyingine una sapoti usaliti?
 
Hivi mkuu ulifikiria kwa makini haya uliyoandika kabla ya kuyaweka hapa?
Nikisema mimi wanasema mwanamaLundi ni mkorofi. Hebu mwambie wewe. Labda atakusikia. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya kabisa, milele na hata milele.
 
Umefumaniwa?
Aliyekufumania yupo Jf.?
Pole sana kama yupo atakusikia hatokubughuzi..
..ila itakua ni zamu ya mwanaume mwenzio kutumia kilicho chako halafu utimize hayo uliyoandika hapo juu.
 
Habari zenu wana-MMU!

Katika jamii zetu kumekuwa na matukio ya kufumaniana kila kukicha na hii imekuwa jambo la kawaida sana,.

Katika nyumba nyingi za wageni matukio haya yanashika kasi sana ukizingatia mambo kama haya ni kuingilia faragha ya wapenzi,.

Watu wanapoingia gesti ni vyema wakapewa ulinzi tosha mpaka hapo watakapomaliza haja zao pasipokuingiliwa na watu wengine,.

Inashangaza sana mtu anapata mwanya wa kuingilia faragha ya watu wanaojipa raha zao,.

Hata kama ni mpenzi wako ni vyema ukavumilia mpaka hapo watakapomaliza haja zao maana angekuwa mpenzi wako kweli asingekufanyia anachokufanyia kwa wakati huo,.

Wamiliki wa gesti ni vyema mkaboresha ulinzi ili asijekutokea mtu ambaye anataka kuingia kwenye chumba cha wapenzi wanaopeana raha zao maana hii inapelekea kuleta vurugu kubwa na hata kusababisha mauaji ambayo yangeweza kuepukika kama ulinzi ungeboreshwa maeneo hayo!!

Utterly non-sense!! Gibberish
 
wengi wao wanaofumaniwa huwa wanaenda guest za bei chiiiini!!!!

kama hamtaki mafumanizi muwe mnaenda hotel kubwa kubwa hapa mjini kama kilimanjaro hotel - kempinski!!

hapo nani ataingia na pangaaaa??? hamnaaa!!

sasa muone kama huyu!! acheni mfumaniwe tuu!!

2.jpg
 
Hivi mkuu ulifikiria kwa makini haya uliyoandika kabla ya kuyaweka hapa?

yaani kwa jinsi nlivyokuja na kuufungua huu uzi nliyokutana nayo nimeishia kucheka kwa hasira yaani mume wangu watu8 nakukuta gesti au nashuhudia ukiingia nikuwache mpaka ukimaliza mambo mambo ndo nkufate???
Mleta mada anahitaji :boxing: :boxing: za kutosha aisee
 
Last edited by a moderator:
alternatvely waweke emergency door darini, maana naona umepinga sana watu kufumaniwa, ngoja yakukute nyinyi ndiyo wale mnajiua na kuua wasio na hatia
 
wengi wao wanaofumaniwa huwa wanaenda guest za bei chiiiini!!!!

kama hamtaki mafumanizi muwe mnaenda hotel kubwa kubwa hapa mjini kama kilimanjaro hotel - kempinski!!

hapo nani ataingia na pangaaaa??? hamnaaa!!

sasa muone kama huyu!! acheni mfumaniwe tuu!!

2.jpg

ha ha ha ha ha!
 
mhhhhh....kazi kweli kweli...inaonekana we ni mwizi wa wake za watu..sasa unataka sapoti..
 
am guuuwudi Karucee jambo weye... Nimekutafuta wewe.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana-MMU!

Katika jamii zetu kumekuwa na matukio ya kufumaniana kila kukicha na hii imekuwa jambo la kawaida sana,.

Katika nyumba nyingi za wageni matukio haya yanashika kasi sana ukizingatia mambo kama haya ni kuingilia faragha ya wapenzi,.

Watu wanapoingia gesti ni vyema wakapewa ulinzi tosha mpaka hapo watakapomaliza haja zao pasipokuingiliwa na watu wengine,.

Inashangaza sana mtu anapata mwanya wa kuingilia faragha ya watu wanaojipa raha zao,.

Hata kama ni mpenzi wako ni vyema ukavumilia mpaka hapo watakapomaliza haja zao maana angekuwa mpenzi wako kweli asingekufanyia anachokufanyia kwa wakati huo,.

Wamiliki wa gesti ni vyema mkaboresha ulinzi ili asijekutokea mtu ambaye anataka kuingia kwenye chumba cha wapenzi wanaopeana raha zao maana hii inapelekea kuleta vurugu kubwa na hata kusababisha mauaji ambayo yangeweza kuepukika kama ulinzi ungeboreshwa maeneo hayo!!

hakika uu -------- wewe,Mungu aliyajua hayo hata akasema usitaman mwanamke asiye wako,leo wewe kama nani unataka kuhalalisha ushenzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom