hao ndio wale wanaochukua wake za watu kisha wanatembea vifua mbele barabarani kama wamepigwa ngumi ya mgongo
daaahh inasikitisha mno..
sasa hapo kipi nafuu ..nibora angeliwa kisamvu au nibora alivyikatwa bombardier
daaahhh dunia simama nishuke aisee