Kwenye pita pita zangu tuPastor umefata nn huku? ๐ ๐ ๐
Pole ndio ukubwa huoAhsante kwa kututia nyege mkuu....
DeepPond unapitwa na utamu

Nipo!Kusimulia na kuandika ni kipaji aseeeh. Nimekuwa mvivu,ila natamani nipate mtu nimsimulie yeye aandike
Ni mimi kabisa hapo nimefuga Hadid njiwa kwenye nyumba ya kupanga๐๐๐๐๐๐๐๐๐Hapo kwenye mpangaji kukaa sehemu mpaka akaanza kufuga nimecheka sana. Kuna jamaa yangu hapo mwanza kapanga mahali kafuga mbuzi kama 60 nilivyoenda kwake nilicheka sana anajiita mwenye nyumba msaidizi since wapangaji wote wamemkuta.
Hivi ndugu story ya Mwahija ulishatupia humu au nimepitwa nayo? Maana kama baada ya yy ndio ukatubu kabisa kuhusu mishangazi nn kilikukuta mwamba? BrieflyRudi umalizie
Yani nilicheka kinoma nilivyoenda kunitembelea. Msela kajiachia Kama kwao Yani.Ni mimi kabisa hapo nimefuga Hadid njiwa kwenye nyumba ya kupanga๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Ikiisha ya apostle tuwekewe ya mwahijaHiyo ni story inayojitegemea. Panapo majaaliwa italetwa humu ๐ ๐ ๐