Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Naona kuna fursa ya kibiashara kwenye hili la Gwajima.
Ukiweza kukusanya videos zake zote toka siku ya kwanza ameanza kumuongelea bashite mpaka sasa ukaziweka kwenye DVD ukaziandika *GWAJIMA VS. BASHITE SEASON 1.* Utakula hela