Full Vituko

Heeeeeeh, mademu wengi jeuri hawana siku hizi hata jero wanashukuru. Chezea Pombe wewe. Ila jana Pombe kaniuzi sana hutuba ya kibaguzi pale Kinyerezi.
 
Heeeeeeh, mademu wengi jeuri hawana siku hizi hata jero wanashukuru. Chezea Pombe wewe. Ila jana Pombe kaniuzi sana hutuba ya kibaguzi pale Kinyerezi.
Jana kachemsha sana acee... kweli ccm ni ileile!
 
Samahani sikubahatika kuisikia alizungumzia nini hasa??
Alisema kwamba atalihudumia zaidi jimbo la segerea kwa vile lina mbunge wa ccm, eti hawezi mpa chakula mtoto ambaye si wake. Kwa kauli hiyo yeye ni rais wa wa ccm na sio watanzania wote kama ambavyo amekuwa akitudanganya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…