Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Jana kachemsha sana acee... kweli ccm ni ileile!Heeeeeeh, mademu wengi jeuri hawana siku hizi hata jero wanashukuru. Chezea Pombe wewe. Ila jana Pombe kaniuzi sana hutuba ya kibaguzi pale Kinyerezi.
Jana kachemsha sana acee... kweli ccm ni ileile!
Samahani sikubahatika kuisikia alizungumzia nini hasa??Heeeeeeh, mademu wengi jeuri hawana siku hizi hata jero wanashukuru. Chezea Pombe wewe. Ila jana Pombe kaniuzi sana hutuba ya kibaguzi pale Kinyerezi.
Dia nenda Jukwaa la siasa tafuta thread inaitwa Raisi Magufuli amdhalilisha meya wa UKAWA manispaa ya Ilala - by Mwita ManyaraSamahani sikubahatika kuisikia alizungumzia nini hasa??
Alisema kwamba atalihudumia zaidi jimbo la segerea kwa vile lina mbunge wa ccm, eti hawezi mpa chakula mtoto ambaye si wake. Kwa kauli hiyo yeye ni rais wa wa ccm na sio watanzania wote kama ambavyo amekuwa akitudanganya.Samahani sikubahatika kuisikia alizungumzia nini hasa??