HamisaBaby
Member
- Oct 6, 2017
- 80
- 25
Akifunguka ilivokuwa
dogo janja anajilia utamu huo kavu kavu
Hatimaye kile kitendawili sasa kimeteguliwa. Sio kiki ya muziki wala movie mpya kama ilivyodhaniwa.
Nimewaletea video ya tukio zima la harusi kati ya Mr & Mrs Chande.
Ha ha haMoyo wangu umejaa furaha sana kuona kwamba Irene uwoya na Dogo Janja wameonyesha kwa vitendo despite all rumours, scandals and age difference kua True Love Exists.
May Allah ( S.W) Bless your every breath together.
Moyo wangu umejaa furaha sana kuona kwamba Irene uwoya na Dogo Janja wameonyesha kwa vitendo despite all rumours, scandals and age difference kua True Love Exists.
May Allah ( S.W) Bless your every breath together.
Moyo wangu umejaa furaha sana kuona kwamba Irene uwoya na Dogo Janja wameonyesha kwa vitendo despite all rumours, scandals and age difference kua True Love Exists.
May Allah ( S.W) Bless your every breath together.
Hatimaye kile kitendawili sasa kimeteguliwa. Sio kiki ya muziki wala movie mpya kama ilivyodhaniwa.
Nimewaletea video ya tukio zima la harusi kati ya Mr & Mrs Chande.
Wasanii na ndoa ni maji na mafuta.Bado ipo hii ndoa?
True love exited...true love exists
Pole Graduate toka SUAUwoya anaishi maisha matamu sana kwa sasa aisee, hata kama anaigiza. Mpaka nikiangalia mivyeti yangu ya elimu nakosa la kusema.
Mtoto wake anapata the best education, I guess
Kwani ni kweli huyu mtoto alimuoa dada yake? Seriously?Wasanii na ndoa ni maji na mafuta.
Njoo u comment tenaMoyo wangu umejaa furaha sana kuona kwamba Irene uwoya na Dogo Janja wameonyesha kwa vitendo despite all rumours, scandals and age difference kua True Love Exists.
May Allah ( S.W) Bless your every breath together.
Mkono wa Nyani maamaeHahahahahahaaha Dogo Jinga kweli mburula!!! Anajisifu kupendwa huku akiunganishwa kwenye Stegolaz GOJI?
Kabisa Mkono wa Nyani anaangaika nao sasa.Mkono wa Nyani maamae
Njoo u comment tena