FULL VIDEO: Harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Hatimaye kile kitendawili sasa kimeteguliwa. Sio kiki ya muziki wala movie mpya kama ilivyodhaniwa.

Nimewaletea video ya tukio zima la harusi kati ya Mr & Mrs Chande.

Moyo wangu umejaa furaha sana kuona kwamba Irene uwoya na Dogo Janja wameonyesha kwa vitendo despite all rumours, scandals and age difference kua True Love Exists.

May Allah ( S.W) Bless your every breath together.
 
Ha ha ha
 
Duh! True love. Indeed true love exists....
 
Uwoya anaishi maisha matamu sana kwa sasa aisee, hata kama anaigiza. Mpaka nikiangalia mivyeti yangu ya elimu nakosa la kusema.

Mtoto wake anapata the best education, I guess
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom