Full Time |NBC PL| KMC 1-2 Simba SC | KMC Complex, Mwenge | 16:00

Camara kabeti GG..ule mpira kaupaka mafuta kidizaini..wakati mwingine game kama hizi ndio zakulipa marejesho kwa mdhamini...watu sio wajinga bana!
 
Wachezaji wa simba wamejaa ubinafsi sana.Ndo kitakachowaangusha simba dakika za mwisho katika kila mashindano msimu huu.Yani wana ile ngoja nioneshe me naweza!
Ona sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…