Full Time: Argentina 3-0 Algeria | World CUP 2026 | Arrowhead Stadium

Kwa nini kwenye hii mechi ya Argentina vs Algeria, mashabiki wa Algeria walikuwa wakiimba kuwa Messi ni adui wa Allah na kuwa Allah atawaadhibu makafiri Argentina? Hivi hawa watu wana akili za namna gani?

Walikuwa wakiimba
“Messi is the enemy of Allah. Allah is on our side. Algeria will destroy the infidel nation of Argentina”

Messi scored 3 goals and humiliated the Islamic nation of Algeria. Allah was not on their side.

View: https://x.com/i/status/2067157096852779409
 
Kwamba kakutana na underdog..wakati underdog angemgonga wangebadili gia angani.

Jamaa anajua tuache unafiki..lile Goal la tatu..jinsi jamaa anajipinda kupiga aisee hapana..hapanaa
Magoli yote yameenda shule, ni kawaida kwa Messi mambo haya
 
Wakifungwa wanasema ni majonzi kwetu sote waafrika
Wakishinda wanasema huu ni ushindi kwa nchi zote za kiaarabu
 
Kwa nini kwenye hii mechi ya Argentina vs Algeria, mashabiki wa Algeria walikuwa wakiimba kuwa Messi ni adui wa Allah na kuwa Allah atawaadhibu makafiri Argentina? Hivi hawa watu wana akili za namna gani?

Walikuwa wakiimba
“Messi is the enemy of Allah. Allah is on our side. Algeria will destroy the infidel nation of Argentina”

Messi scored 3 goals and humiliated the Islamic nation of Algeria. Allah was not on their side.

View: https://x.com/i/status/2067157096852779409

BlackPanther
 
Tukio la kwanza vurugu katika FIFA World Cup 2026 imefanywa na mashabiki wa Algeria walipowafanyia vurugu wenzao wa Argentina Times Square NY

View: https://x.com/i/status/2067080570362888304

Kila wakati ni wao

Wewe mgalatia Kafiri mbona unahangaika sana? Hapa tunaongelea Soka,tutolee huo upumbavu wako na ulokole wako hapa,

Usifikiri haujulikani lengo lako la kukazana kupost habari ya aina hii kila sehemu,

Unafikiri unaposema "Kila wakati ni wao" hatujui lengo lako? Chuki ya udini inakutafuna sana wewe mzee,Get a life upunguze chuki za kijinga,

Hujui hata chanzo cha huo ugomvi ulianzaje,unaendeshwa na chuki za kijinga sana.
 
Kafir ni wewe muabudu jiwe aka al aswad. Kwa nini nyie makafir wa dini ya makuresh kikuresh ni watu wa vurugu kila sehemu mlipo? Mna laana ama kitu gani?
 
Nilijua tu utauingia huu mtego kirahisi sana,

Hapa umethibitisha jinsi ulivyo na chuki ya udini kama nilivyo sema mwanzo,

Huu ni uzi wa Sport,hizo issue na chuki yako ya udini,nenda kajadili na mumeo,usituharibie uzi kubwa jinga wewe.
 
Walioanzisha udini ni hao walioimba Allah yupo nao na watawashinda kafir, ikawa kinyume chake. Walaumu wao
 
Sitaki kuharibu huu uzi wa michezo,ila nitakutafuta kwenye uzi mwingine na ndio itakua mwisho wako kuleta huo upumbavu wako wa chuki ya udini,just prepare yourself and be ready.
 
Back
Top Bottom