- Thread starter
- #41
Mkuu ni habari hii tu ndio mnaikubali vip ile ya kusambaratishwa kwa makao makuu ya mossad unayo ?
Sijabisha ila Iran ni kawaida yake kukupa sifa
Mkuu ni habari hii tu ndio mnaikubali vip ile ya kusambaratishwa kwa makao makuu ya mossad unayo ?
Sijabisha ila Iran ni kawaida yake kukupa sifa
Unless hujui english ,uwe unafuatilia international news siyo kila habari utaipata millard ayosite zimepigwa zikiwa kwenye mahandaki chini, sasa satelite unayoongeleea wewe ni ipo boss?
Hii umeikataa kutoka kwa Iran na umeweka ila ile umetumia chanzo cha wa Iran hapa umefanya nini?
Nani alianzisha vita? halafu utuambie hapa nani alijificha kwenye kwenye mapango undergroundtehran walijua wanauliwa wote sasa wamebaki wataachaje kusherekea? kwao huo ni ushindi mkubwa
milard ayo hua anaripoti habari za iran?Unless hujui english ,uwe unafuatilia international news siyo kila habari utaipata millard ayo
alienzisha vita israel, na akatimiza malengo yake, aliyejificha ni hayatolaNani alianzisha vita? halafu utuambie hapa nani alijificha kwenye kwenye mapango underground
netanyahu yeye anapiga tuu misele kama kawa, ila kibabu ndo kipo chini mapangoniNani alianzisha vita? halafu utuambie hapa nani alijificha kwenye kwenye mapango underground
Kunyoshana ndio mnaita match vibaya nyiee !!!!!!!
Ilani sio apartment kawacha kweli kweli mpaka trump wakati anaomba poo alikiri hilo kwa kusema Israel was fucked very hard for this last two daysiran zaidi ya kulenga aprtment kipi kingine amefanya?
zaidi ya apartment wapi walipiga zaidi?Ilani sio apartment kawacha kweli kweli mpaka trump wakati anaomba poo alikiri hilo kwa kusema Israel was fucked very hard for this last two days
Weka hii picha kwenye huu uziMechi imeanza
Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote
Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala
Goli la tatu: military assets zake theluthi moja zimeharibiwa
Goli la nne: vinu vya nuclear vyote vimeshambuliwa
Iran kabahatisha karudisha goli moja kashambulia apartments za telaviv, jerusalem na haifa
Referee TRUMP kamalima mechi dakika 90
ISRAEL 4, IRAN 1
Ile tulivokua tunaaminishwa na wavaa kobasi na mashehe ubwabwa humu kwamba Iran ina nguvu kubwa za kijeshi kumbe ni mipasho tuu.. iran amepigwa kama mtoto akaanza kushambulia apartments.. mtu amekaa kwenye anga lako wiki mbili na hujamfanya chochote ? ameshindwa kudondosha ata drone moja? aibu kubwa hii