FULL MATCH: ISRAEL 4 IRAN 1

FULL MATCH: ISRAEL 4 IRAN 1

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,509
Reaction score
1,115
Mechi imeanza
Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote
Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala
Goli la tatu: military assets zake theluthi moja zimeharibiwa
Goli la nne: vinu vya nuclear vyote vimeshambuliwa

Iran kabahatisha karudisha goli moja kashambulia apartments za telaviv, jerusalem na haifa

Referee TRUMP kamalima mechi dakika 90

ISRAEL 4, IRAN 1
Ile tulivokua tunaaminishwa na wavaa kobasi na mashehe ubwabwa humu kwamba Iran ina nguvu kubwa za kijeshi kumbe ni mipasho tuu.. iran amepigwa kama mtoto akaanza kushambulia apartments.. mtu amekaa kwenye anga lako wiki mbili na hujamfanya chochote ? ameshindwa kudondosha ata drone moja? aibu kubwa hii
 
Israel 1-4 Iran
 
iran zaidi ya kulenga aprtment kipi kingine amefanya?
Unaleta ushabiki Mandazi kwenye vita.

Hii ilikuwa siku ya 9 ya vita.

Iran imepiga !

🟢 1. Kiwanda cha Umeme cha Hadera
Moja ya mitambo mikubwa ya umeme nchini Israel, iliyoko kaskazini mwa Tel Aviv.

🟢 2. Msingi wa Kiriya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Israeli (Kamanda wa Kijeshi).

🟢 3. Kituo cha Kuhifadhi Mafuta ya Haifa
Kituo kikuu cha kuhifadhi mafuta na nishati kaskazini mwa Israeli, muhimu sana kwa usafiri wa anga na usafiri.

🟢 4. Kiwanda cha Umeme cha Haifa
Miundombinu ya nishati inayokata umeme kaskazini mwa Israeli.

🟢 5. Nevatim Air Base
Kambi ya kijeshi ya jeshi la anga ya F-35 kusini mwa Israel.

🟢 6. Uvda air base
Kituo cha amri, udhibiti na shughuli za kijeshi za kielektroniki.

🟢 7. Tel Nof Air Base
Kambi ya kijeshi ya kimkakati ya anga ya Israeli.

🟢 8. Jalil Base
Kituo cha kijeshi kaskazini mwa Israeli.

🟢 9. Miundombinu ya bandari za Haifa
Vituo vya mafuta na baharini na besi za Israeli.

🟢 10. Kituo cha Sayansi cha Weizmann
Moja ya vituo muhimu zaidi vya utafiti nchini Israeli.

🟢 11. Mji wa viwanda wa Kiryat Gat
Kituo cha teknolojia na tasnia, pamoja na viwanda vya semiconductor.

🟢 12. Wizara ya Ulinzi ya Israeli
Kituo kikuu cha amri na mipango ya kimkakati ya kijeshi.

🟢 13. Kituo cha Utafiti wa Nyuklia cha Israeli
Eneo la kimkakati katika eneo la Tel Aviv.

🟢 14. Kampuni ya Rafael huko Haifa
Msambazaji wa mifumo muhimu ya ulinzi kwa Israeli.

🟢 15. Msingi 8200
Israel Cyber Operations and Evesdropping Center.

🟢 16. Makao Makuu ya Mossad
Huduma ya ujasusi ya Israeli.
 
Haya mahaba yanakutia upofu, hivi umeona huko hali ya telaviv? Umewahi kuona marekani anaomba ceasefire kwa haraka vile?mbona gaza wamekataa ceasefire, unadhani kuishi kwenye mahandaki mchezo
 
acha uongo wewe iran haijapiga mosad, wewe ndo unaleta ushabiki maandazi, au unafikiri kurusha ndo kupiga?
1000609648.jpg
 
Haya mahaba yanakutia upofu, hivi umeona huko hali ya telaviv? Umewahi kuona marekani anaomba ceasefire kwa haraka vile?mbona gaza wamekataa ceasefire, unadhani kuishi kwenye mahandaki mchezo
hayatola alikua anaishi mapangoni siku zote, unafikiri angeweza kuishi mapangoni mwezi kweli na hali yake iko vile?
 
Haya mahaba yanakutia upofu, hivi umeona huko hali ya telaviv? Umewahi kuona marekani anaomba ceasefire kwa haraka vile?mbona gaza wamekataa ceasefire, unadhani kuishi kwenye mahandaki mchezo
Us kaomba ceasefire baada ya kumaliza kazi yao, kazi ilikua ni kulipua nuclia sites, wamezilipua lengo lao limetimia sasa kama washamaliza waendelee kupigana ili iweje? unafikiri kurusha ndege zaidi ya 50 kila siku kutoka telaviv kwenda tehran na kurudi ni kazi ndogo?
 
Aliwachukua wale wa F 35 alizodungua
kama drone tu zile za kawaida zile za kudungua na manati hawajadungua hata moja sembuse hiyo F35? zile za drone za kudungua na manati hata wadzabe wanaweza kuzidungua
 
Unaleta ushabiki Mandazi kwenye vita.

Hii ilikuwa siku ya 9 ya vita.

Iran imepiga !

🟢 1. Kiwanda cha Umeme cha Hadera
Moja ya mitambo mikubwa ya umeme nchini Israel, iliyoko kaskazini mwa Tel Aviv.

🟢 2. Msingi wa Kiriya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Israeli (Kamanda wa Kijeshi).

🟢 3. Kituo cha Kuhifadhi Mafuta ya Haifa
Kituo kikuu cha kuhifadhi mafuta na nishati kaskazini mwa Israeli, muhimu sana kwa usafiri wa anga na usafiri.

🟢 4. Kiwanda cha Umeme cha Haifa
Miundombinu ya nishati inayokata umeme kaskazini mwa Israeli.

🟢 5. Nevatim Air Base
Kambi ya kijeshi ya jeshi la anga ya F-35 kusini mwa Israel.

🟢 6. Uvda air base
Kituo cha amri, udhibiti na shughuli za kijeshi za kielektroniki.

🟢 7. Tel Nof Air Base
Kambi ya kijeshi ya kimkakati ya anga ya Israeli.

🟢 8. Jalil Base
Kituo cha kijeshi kaskazini mwa Israeli.

🟢 9. Miundombinu ya bandari za Haifa
Vituo vya mafuta na baharini na besi za Israeli.

🟢 10. Kituo cha Sayansi cha Weizmann
Moja ya vituo muhimu zaidi vya utafiti nchini Israeli.

🟢 11. Mji wa viwanda wa Kiryat Gat
Kituo cha teknolojia na tasnia, pamoja na viwanda vya semiconductor.

🟢 12. Wizara ya Ulinzi ya Israeli
Kituo kikuu cha amri na mipango ya kimkakati ya kijeshi.

🟢 13. Kituo cha Utafiti wa Nyuklia cha Israeli
Eneo la kimkakati katika eneo la Tel Aviv.

🟢 14. Kampuni ya Rafael huko Haifa
Msambazaji wa mifumo muhimu ya ulinzi kwa Israeli.

🟢 15. Msingi 8200
Israel Cyber Operations and Evesdropping Center.

🟢 16. Makao Makuu ya Mossad
Huduma ya ujasusi ya Israeli.
hizo sehem zote iran walizitarget na wakarusha makombora. ila mengi hayakufika au yalitua sehem za wazi.. makombora yao mengi yalikua yanatua kwenye apartment tofauti na wao ambao military target zao zote zimepigwa hakuna hata moja iliyokosa target, wamepigwa inteligence base zao zotez makao makuu ya polisi, makao makuu ya jeshi, yani kwa kifupi wamepigwa kila sehem walikosea sana kumuachia myahudi atawale anga lao
 
Humu tu
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 13
Us kaomba ceasefire baada ya kumaliza kazi yao, kazi ilikua ni kulipua nuclia sites, wamezilipua lengo lao limetimia sasa kama washamaliza waendelee kupigana ili iweje? unafikiri kurusha ndege zaidi ya 50 kila siku kutoka telaviv kwenda tehran na kurudi ni kazi ndogo?
Hivi unajua kama nuclear site hazijaguswa hata kidogo na expert wote wameconfirm ikiwemo cnn ?
 
hizo sehem zote iran walizitarget na wakarusha makombora. ila mengi hayakufika au yalitua sehem za wazi.. makombora yao mengi yalikua yanatua kwenye apartment tofauti na wao ambao military target zao zote zimepigwa hakuna hata moja iliyokosa target, wamepigwa inteligence base zao zotez makao makuu ya polisi, makao makuu ya jeshi, yani kwa kifupi wamepigwa kila sehem walikosea sana kumuachia myahudi atawale anga lao
Kwani huwa unaangalia ybc,voa bbc,au dw,cnn,cnbc,tunaoangalia walao aljazeera,au cctv au angalao akina tass,sputnic au RT tinawazoom na uongo na maigizo kama ya ccm tuu!
 
Back
Top Bottom