Full High Day ya leo sasa...

Full High Day ya leo sasa...

eeeh bana eeeh.......nimeona ishatua Century Cinemax.....nani tupeane company leo.....?
 
Ebu giv me details bana...the day is still mbichi kabisa!!!! asikuangushe kipa wa yanga 1979 nije nikuangushe mimi kaka..
hahahahahahaha..6-0..sio haya kaka...ni M city mkuu..ila nasikia umeanza kusumbua kwa yuleeee...we mbayaaaa
 
nasubiri link kwa young master niinyonye leo na wajanja nite so na badili Tzs 5K kwa Tzs200.. kila la kheri..
 
hahahahahahaha..6-0..sio haya kaka...ni M city mkuu..ila nasikia umeanza kusumbua kwa yuleeee...we mbayaaaa

Ahahahaa huko kunsingizia sasa! wala sijaonana na yule bro tangu dat day....anatafuta umaarufu kwangu nahisi!

Kama ni leo sitoweza niko na vere hot date kuanzia jioni ya leo hadi kesho muda wa mechi. then to be continued there after....hahahahaha...talk of kuoa during the weekend then back to singlehood on Monday!!!! I love this life maaaaan...
 
ahahahaa huko kunsingizia sasa! Wala sijaonana na yule bro tangu dat day....anatafuta umaarufu kwangu nahisi!

Kama ni leo sitoweza niko na vere hot date kuanzia jioni ya leo hadi kesho muda wa mechi. Then to be continued there after....hahahahaha...talk of kuoa during the weekend then back to singlehood on monday!!!! I love this life maaaaan...
ahaaa ukijua niko selo waropoka huku ndio nshajua hivoo ulivyoo msg sent na ukome kumfuatilia mdogo wangu ukome kabisaaa
 
Ahahahaa huko kunsingizia sasa! wala sijaonana na yule bro tangu dat day....anatafuta umaarufu kwangu nahisi!

Kama ni leo sitoweza niko na vere hot date kuanzia jioni ya leo hadi kesho muda wa mechi. then to be continued there after....hahahahaha...talk of kuoa during the weekend then back to singlehood on Monday!!!! I love this life maaaaan...
bold ya kwanza si maanishi bro mkuu ni yule aliye vaa nyekunduuu...
bold ya pili..game unaangalia wapi?
 
Ahahahaa huko kunsingizia sasa! wala sijaonana na yule bro tangu dat day....anatafuta umaarufu kwangu nahisi!

Kama ni leo sitoweza niko na vere hot date kuanzia jioni ya leo hadi kesho muda wa mechi. then to be continued there after....hahahahaha...talk of kuoa during the weekend then back to singlehood on Monday!!!! I love this life maaaaan...


eheheeheeeee..mabwaku!!! namjua bi harusi!
by the side road ninakumaindi sanaaaaaaaaa
 
ahaaa ukijua niko selo waropoka huku ndio nshajua hivoo ulivyoo msg sent na ukome kumfuatilia mdogo wangu ukome kabisaaa

duuh karibu tena mrembow Nivea we missed you sanaaa
ila nilikuona ulikuwa unachunguliachunguli humu...............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom