Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

nawe pia ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine. tatizo lenu mkipewa hivyo vimigao vidogo mnakuja kubweka humu kama mbwa. wenzako wamelamba mabilioni wewe umepewa vilaki na kuja kuwatetea waovu. HIVI HATA KODI TU AMBAYO NI BIL 30 HUKUIONA?
NYIE WATU WA LUMUMBA MNAMATATIZO SANA.

Mmekaririshwa matokeo yake mmekuwa kama ma robot. hata hiyo elfu 9,000 uliyonayo hapo imo kodi pia.tumia akili zako sio za wenzako.
 
Mambo nyuma ya pazia yameanza kufichuka.Deo mjumbe wa PAC ameeleza jinsi mke wa Maswi alivyomwangukia kumtetea mumewe Eliakim Maswi. Pamoja na ujeuri wa mumewe lakini mama huyu alimwangukia makamu asimwanike. Deo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa alipokuwa akisoma maoni ya kumwajibisha waziri mkuu,alimsikia PM Pinda akishusha pumzi nzito sana. Aidha Zitto naye amebainisha kuwa alilazimika kumuita dada yake Dodoma kumpikia misosi akiwa na hofu ya kuwekewa sumu.

ndugu yangu, kuna watu wenye roho ngumu sana nchi hii. werema na maswi lazima wang'oke ima faima. hawa hata wasafishwe kwa sabuni gani hawatakati ng'o!
 
Back
Top Bottom