Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

Hv maswi anawake wangapi? Anawapa vyeo wanawake na kuwajza mimba huko wizarani na wizara fulani aliyotoka.
Kikwte ahsante kwa utendaji wako na watumishi wako
 
Kumbe wewe ndio hukuelewa opinion ya CAG! uliielewa version ya Prof Mwamdosya? kuwa benki kuu ni taasisi ya serikali lakini pia ni benki, ikiibiwa benki kuu inamaanisha serikali imeibiwa! lakini inaqezekana kabisa hela ikawa kwa asilimia kuubwa ni ya mteja. Bima inamuinsure nani? kama si benki kuu

Umeishawahi kusikia bank kuu wanasema hizo pesa zimeibiwa.

Ndio walichoiambia PAC?
 
Crashwise

punguza ukali, usimdhalilishe mwanamke, ni mama ze2 hata kama kuna ukweli,

Kwa hiyo hata demu wako ni mama yako? fikiri kabla ya kuropoka, kama ndivyo unapalamia mapajani mwake kutafuta nini?
 
Last edited by a moderator:
Usitarajie ukaeleweka kwa maoni yako hayo. Watu wamejazwa ----- vichwani hawawezi kufikiri kwa utulivu tena. Binafsi nimekua tofauti na walio wengi katika hili suala la escrow, huwa sipendi upofu na ushabiki wa kijinga. Kwanza report yenyewe ilikua full ukakasi hadi kupelekea maaazimi ya PAC kupigwa chini na kuandikwa upya kwa msaada wa wabunge wengine. Lakini watu hawalioni hilo wao walizaliwa kwa ajili ya kupiga makofi tu basi.

Jamaa anawaaminisha kuwa yeye ni ni extinguished citizen of his own and unique levels nao wanameza tu.

Ha ha ha bongo noma, any way wa karibu wako maslahi yake yakiguswa si vibaya kiwa kichwa ngum ba kujitoa uelewa
 
Hoja na maneno ya wanasiasa wetu kama haya ni kutafuta sifa na hongera za kitoto!.

Politics is perhaps the only profession for which no preparation is thought necessary-Robert Louis Stevenson

Kwa sababu hata jinsi Pm alivyoponea ni kwa kupitia tundu la Sindano na kibao ligawageukia ambao hawakuwa sehemu ya hoja ya Msingi ya PAC ya uwajibishaji.
Suala la akina Chenge nao kukumbwa na dhoruba lile halikutegemewa.

Hoja na maneno ya wanasiasa wetu kama haya ni kutafuta sifa na hongera za kitoto!.

Kwa hiyo Mhe. Zitto anataka kutuambia baada ya kusoma maazimio ya PAC, hata wasiwasi wa kuuwawa umeisha.

Kwani yeye kama angeuwawa, hata maazimio ya PAC yangeuwawa wakati Kamati ya PAC ilikuwa na wajumbe zaidi ya 18?

Nilishangaa sana kuwasikia eti wanasema hawakulala kwa sababu walikuwa wanalinda repoti isiibiwe. Really?

Hizi ndizo fikra na mitazamo ya kudhani bila mimi hakuna mwingine anayeweza!

Wao wameishatimiza wajibu wao kama PAC, haya mengine ni kutafuta sifa kwa nguvu.

Politics is perhaps the only profession for which no preparation is thought necessary-Robert Louis Stevenson

I like your thinking!!

Kwanza report yenyewe ilikuwa nyepesi mno ndiyo maana watuhumiwa wamesave. Ukilinganisha na ile ya Mwakyembe (Richmond) hii ilikuwa na mambo mengi ya wazi ila Zitto na team yake wameonyesha weakness kubwa sana. Kwa ujumla the quality of their work was very poor!! Pamoja na ushahidi wote ule na mgao kutembezwa waziwazi nashangaa kwa nini PAC wala Bunge hawakuwahoji wafaidika kuwa huo mgao waliopata ulikuwa wa nini!!? So far tuko gizani kwa nini Ruge aliamua kwenda WILD na kumwaga pesa kwa hao waheshimiwa!!
 
Last edited by a moderator:
Weka evidence mezani tupime kama ni kweli filikunjombe alikula rushwa au laa.
Otherwise nakukumbusha kuwa humu tunaongea kwa facts na evidence hatujadili kwa hisia, tunazingatia truth and reality.

Na Filikunjombe naye aweke Evidence kama huyo mke wa Maswi alimwangukia kweli kwenye makalio yake au la
 
Jamaa alijidai vile halafu akamtuma mkewe? Kweli alikua ready kwa lolote... Filikunjombe atuambie zaid alitaka kupewa nini
 
Kwa hiyo tufanyeje sisi? Mjadala umefungwa jenga nchi fanya kazi twende mbele sio kukaliya mambo ya zamani
Mambo nyuma ya pazia yameanza kufichuka.Deo mjumbe wa PAC ameeleza jinsi mke wa Maswi alivyomwangukia kumtetea mumewe Eliakim Maswi. Pamoja na ujeuri wa mumewe lakini mama huyu alimwangukia makamu asimwanike. Deo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa alipokuwa akisoma maoni ya kumwajibisha waziri mkuu,alimsikia PM Pinda akishusha pumzi nzito sana. Aidha Zitto naye amebainisha kuwa alilazimika kumuita dada yake Dodoma kumpikia misosi akiwa na hofu ya kuwekewa sumu.
 
Nyinyi maccm subirini uchaguzi unakuja..tunawasubiri..mbona kwenye 18 mshaingia..imebaki kufunga magoli tu!
 
Hawa wasanii wa PAC isingekuwa UKAWA kuwa against ma CCM no matter what,wangehadhirika vibaya sana.

Report yao ilikuwa na mapungufu makubwa sana,hakuna la maana waliloongezea kwenye report ya CAG.

Walishindwa kumuhoji CAG ili kupata OBJECTIVE OPINION kama pesa ni za serikali au la,sielewi kazi ngumu wanayosema walifanya ni ipi?

Tusaidie hayo mapungufu.....Swali la kwanza aliloulizwa CAG unalikumbuka?
 
Tusaidie hayo mapungufu.....Swali la kwanza aliloulizwa CAG unalikumbuka?

Swala la kwanza la nini, wakati katika maswali yote waliyomuuliza walichoweza kuja kuliambia Bunge ni kwamba, "CAG anasema mle kuna uwezekano wa kuwa na pesa za UMA"
 
Mambo nyuma ya pazia yameanza kufichuka.Deo mjumbe wa PAC ameeleza jinsi mke wa Maswi alivyomwangukia kumtetea mumewe Eliakim Maswi. Pamoja na ujeuri wa mumewe lakini mama huyu alimwangukia makamu asimwanike. Deo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa alipokuwa akisoma maoni ya kumwajibisha waziri mkuu,alimsikia PM Pinda akishusha pumzi nzito sana. Aidha Zitto naye amebainisha kuwa alilazimika kumuita dada yake Dodoma kumpikia misosi akiwa na hofu ya kuwekewa sumu.

Huko ni kutaka sifa tu!! No wonder report yao ilikuwa bomu pamoja na kuikeshea!!

Pamoja na kwamba hawa ni vijana wenzangu .......................... inabidi kukubali kuwa nchi hii bado hatuna vijana wa kutuongoza. Design tulizonazo ni za watafuta SIFA tu. So far sijaona kijana mwenye uwezo!!
 
Uabdishi ulikuwa wa kishabiki sana. Kuna conclusions zilikuwa wrong pia!
 
nawe pia ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine. tatizo lenu mkipewa hivyo vimigao vidogo mnakuja kubweka humu kama mbwa. wenzako wamelamba mabilioni wewe umepewa vilaki na kuja kuwatetea waovu. HIVI HATA KODI TU AMBAYO NI BIL 30 HUKUIONA?
NYIE WATU WA LUMUMBA MNAMATATIZO SANA.

Back
Top Bottom