Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

Fulikunjombe: Mke wa Maswi aliniangukia

Crashwise

punguza ukali, usimdhalilishe mwanamke, ni mama ze2 hata kama kuna ukweli,
 
Last edited by a moderator:
Hawa wasanii wa PAC isingekuwa UKAWA kuwa against ma CCM no matter what,wangehadhirika vibaya sana.

Report yao ilikuwa na mapungufu makubwa sana,hakuna la maana waliloongezea kwenye report ya CAG.

Walishindwa kumuhoji CAG ili kupata OBJECTIVE OPINION kama pesa ni za serikali au la,sielewi kazi ngumu wanayosema walifanya ni ipi?
Mkuu,
Ukichunguza kwa undani utagundua kuwa, hawa vijana walikuwa wanafanya kazi wakiwa wameishatoa majibu ya kazi zao, ndiyo maana hata mapungufu kwenye maazimio yao hawakuweza kuyaona.

Huwezi kuwa OBJECTIVE kama umeishatoa hukumu halafu ukaanza kusikiliza kesi.

Wao walisahau kama ni sehemu ya mihimili ya Dola, badala yake wakawa kama madikteta katika maazimio yao.

Yes, kuna makosa yamefanyika katika suala la Escrow account lakini makosa hayo hayawezi kuwa ndiyo lungu la maazimio ya kidikteta katika utawala wa sheria.

Ndiyo maana waliwahi kuamulisha maofisa wakamatwe kwa sababu wamekataa kupeleka mikataba kwenye Kamati yao wakati hata utaratibu na Kanuni za Bunge haziwaruhusu kufanya kitendo kama hicho.
 
MACCM mioyo inawauma sana. Penye ukweli tuseme ukweli. Tuwape hongera kamati ya PAC kwa kufanya kazi nzuri. Wangeingiwa na choyo na ubnafsi wangeweza kuchukua mlungula na kuchakachua report. Kwa vyovyote vile hakuna ambacho kingeweza kufanyika zaidi kukubaliana na hiyo taarifa ya PAC. Nawapa pongezi wote waliokuwa kwenye kamati bila kujali chama.

Wengi wa walioko hapa ambao mioyo inawauma kutokana na mapendekezo ya PAC ni wafaidika wa karibu wa hao mafisadi ndo maana mnaandika utumbo.
 
kwa akili hizi acha uibiwe na kutawaliwa tu

kwako ww ndani ya PAC hakuna ukawa!!!! kwako ukawa ni asiye member wa PAC!!!!
 
Mkuu
Mchakato mzima wa hili swala uligubikwa na maslahi ya kisiasa.

Hata compromise waliyofanya jumamosi ni ya kisiasa.

Watu wanatafuta political resurrection kwa gharama zozote zile.

Hawa PAC ni wanafiki sijapata kuona,
 
kwa akili hizi acha uibiwe na kutawaliwa tu

kwako ww ndani ya PAC hakuna ukawa!!!! kwako ukawa ni asiye member wa PAC!!!!
Acha kusupport mambo ya ajabu wewe,watanzania tunaibiwa sana,hao IPTL wenyewe wanaiba hata leo,tena pesa nyingi zaidi.

Lakini ni upunguani kushabikia michakato ya kupambana na wezi ndani ya bunge letu kwa taarifa za uongo na zilizojaa maswali yasiyo na majibu.

Report ya PAC imesababisha mjadala wa ushiriki wa RAIS katika wizi huu ukose audience kwa sababu ya upuuzi tu wa kujipendekeza pendekeza.
 
Hizo sifa na sidhan kama mijitu mingine ina akili timamu,hawahawa ndo walizusha uongo kuwa maswi alikuwepo airport kumpokea kikwete wakati jamaa alikuwepo Dodoma.

Ukitaka kujua mapungufu ya wazi ya Taarifa ya escrow mdio lama haya
 
Kamati ya PAC ilikuwa na wajumbe 24, na 19 walikuwa wa ccm na wote walikuwa na nguvu sawa. Iweje huyo mama amfuate Filikunjombe tuu??
 
huyu ni CCM wangeweza kutumia lugha ya kiCCM.asingemfuata Zito wakati alishakuwa na bifu na mumewe.btw Zito hajaoa angeweza kumkaza
 
Hoja na maneno ya wanasiasa wetu kama haya ni kutafuta sifa na hongera za kitoto!.

Kwa hiyo Mhe. Zitto anataka kutuambia baada ya kusoma maazimio ya PAC, hata wasiwasi wa kuuwawa umeisha.

Kwani yeye kama angeuwawa, hata maazimio ya PAC yangeuwawa wakati Kamati ya PAC ilikuwa na wajumbe zaidi ya 18?

Nilishangaa sana kuwasikia eti wanasema hawakulala kwa sababu walikuwa wanalinda repoti isiibiwe. Really?

Hizi ndizo fikra na mitazamo ya kudhani bila mimi hakuna mwingine anayeweza!

Wao wameishatimiza wajibu wao kama PAC, haya mengine ni kutafuta sifa kwa nguvu.

Politics is perhaps the only profession for which no preparation is thought necessary-Robert Louis Stevenson

Kama sifa wamepata tena kuuubwa. Sasa watafute nyingne ya kutoka wapi? Kwahyo we unaona suala la Deo kuangukiwa na mke wa maswi ndo litampa sifa kuliko kazi aliyoifanya kwa kushirikiana na wanakamati wengne. Halafu zitto umemtaja wa nini? Au ndo nyie mlopata pigo?
 
Ache ujinga wake mke wa maswi alikutana naye wapi hili jamaa jinga kweli lonakula rushwa halafu kazi kujipapatua tu.

Kwani wewe unajua mke wa Maswi asii yake ni wapi, kwa taarifa yako wanatoka kijiji kimoja na "Fullkujombe"
 
MACCM mioyo inawauma sana. Penye ukweli tuseme ukweli. Tuwape hongera kamati ya PAC kwa kufanya kazi nzuri. Wangeingiwa na choyo na ubnafsi wangeweza kuchukua mlungula na kuchakachua report. Kwa vyovyote vile hakuna ambacho kingeweza kufanyika zaidi kukubaliana na hiyo taarifa ya PAC. Nawapa pongezi wote waliokuwa kwenye kamati bila kujali chama.

Wengi wa walioko hapa ambao mioyo inawauma kutokana na mapendekezo ya PAC ni wafaidika wa karibu wa hao mafisadi ndo maana mnaandika utumbo.

Kweli mkuu. Tena shangaa hata ccm wenyewe wametulia kwa maridhiano. Kwa serikali yetu hii hata hiyo hatua inapaswa kupongezwa. Bado tuna uzito ktk kuwajibishana.Sasa wanaojaa upepo humu kuiponda PAC sijui tuwaite team maswi.? Maana ngum kuwaelewa hoja zao. Yes ni team maswi hawa
 
Mkuu,
Ukichunguza kwa undani utagundua kuwa, hawa vijana walikuwa wanafanya kazi wakiwa wameishatoa majibu ya kazi zao, ndiyo maana hata mapungufu kwenye maazimio yao hawakuweza kuyaona.

Huwezi kuwa OBJECTIVE kama umeishatoa hukumu halafu ukaanza kusikiliza kesi.

Wao walisahau kama ni sehemu ya mihimili ya Dola, badala yake wakawa kama madikteta katika maazimio yao.

Yes, kuna makosa yamefanyika katika suala la Escrow account lakini makosa hayo hayawezi kuwa ndiyo lungu la maazimio ya kidikteta katika utawala wa sheria.

Ndiyo maana waliwahi kuamulisha maofisa wakamatwe kwa sababu wamekataa kupeleka mikataba kwenye Kamati yao wakati hata utaratibu na Kanuni za Bunge haziwaruhusu kufanya kitendo kama hicho.

Ina maana Wabunge 19 wote wa ccm waliomo kwenye PAC walikuwa na nia ya kukishambulia na kukiangisha chama chao !!!
 
Back
Top Bottom