Fujo za Congo,Uganda wataka kujitoa kwenye usuluhishi

Cdej

Member
Oct 19, 2012
11
0
Waziri nchini Uganda atangaza kujitoa kwenye mazungumzo ya usuluhishi nchini Congo mara baada ya kupewa tuhuma za kuwasaidia waasi wa M23 nchini Congo.
 
Waziri nchini Uganda atangaza kujitoa kwenye mazungumzo ya usuluhishi nchini Congo mara baada ya kupewa tuhuma za kuwasaidia waasi wa M23 nchini Congo.

Mkuu hizo ni gimmick za kuhadaa dunia, M7 na Kagame si watu wa kuleta suluu yoyote nchi CONGO-wenyewe wanataka fujo hizi ziendelee ili wapate mwanya wa kufyeka misitu ya Congo kuiba mbao na madini, nilisha sema humu viongozi wa kuleta amani ya kudumu nchini Congo ni Rais Du-SANTOS na Mugabe basi.
 
Back
Top Bottom