Fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

kopo la chumvi

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
256
459
Nashukuru sana Mungu napumua, matumaini Wana jf mko vizuri

Mwaka 2015 niliingia kwenye dimbwi la mapenzi na binti mmoja aliye kuwa kidato cha tano na Mimi nikiwa nimehitimu veta tarime mwaka huo,binti huyo alikuwa anasoma NATA GIRLS Serengeti mara

Ni kweli alichokipanga Mungu hakiwezi kupinduliwa na mwanadamu,, binti huyu niliwahi kumtongoza akiwa kidato cha pili akachomoa kipindi icho tukiwa bukoba mkoani kagera (nyumbani)

Uyu binti alipohitimu kidato cha nne nilimshawishi aende ualimu au nurse akachomoa akadai ndoto zake ni kufka chuo kikuu basi Mimi wazee nilikata tamaa

Nikaona ligi hiyo siiwezi kutokana na elimu atakayo kuwa nayo huyo mwanadada
Siku moja natoka zangu msoma naenda zangu tarime gafla niko Zerozero one gari letu likapata pancha.Tukateremka kumbe na yeye alikuwa kwenye gari lingine akitokea mwanza kwenda shulen baada ya likizo bahati mbaya kwenye gari lao walikuwa na mgonjwa gafla akakata roho ivo ikawalazimu wasimame ili wafany utaratibu wa kumsafirisha,,,,,,Kuvunjika kwa pakacha ,,,, nafuu kwa ...mchukuzi

Nikasogea karbu yake na kuanza kumpa Salam
Mambo Ayesga
Akajibu safiii za wewe,,,
Salam tu,wapi siku hizi!!
Akajibu niko NATTa girls
Wahoooo na mm niko tarime karbu na sirari kama unaelekea kwa Kibaki

Sikuwa mzembe nikachukua namba ake ya simu,,akanambia mm nitakutafuta wala usinitafute wewe nikasema sawa

Ilikuwa jumamosi saa nne nikaona namba ngeni,,bahati mbaya nilikuwa na boss wangu tunapima na kukata madirisha ya giriri

Bwana Okendo akasema pokea cm ya shemeji hiyoooo...(utani wa vijiweni ukafuuta)

Ile nataka kupokea cm ikakata duuh
Nikaibeep ,,,ikapga kumbe alikuwa binti Ayesga tuliongea mambo mengi Sana,,akanitaka tuchati badae after prepol
( Sijui maana ya prepol) nikaitikia powaaaa wa kwetu yaani wa nyumban

#fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

Inaendeleaaa....... Aaa
 
Nashukuru sana Mungu napumua,, matumaini Wana jf mko vizuri

Mwaka 2015 niliingia kwenye dimbwi la mapenzi na binti mmoja aliye kuwa kidato cha tano na Mimi nikiwa nimehitimu veta tarime mwaka huo,binti huyo alikuwa anasoma NATA GIRLS Serengeti mara
Muwe mnakuwa serious mnapoweka stori humu.Yani mtu unaandika stori mistari 6 tu unakata na kusema itaendelea baadae, huo ni uvivu na uzembe wa kuandika hivyo unatupoteza sisi wasomaji makini.Mimi kwa mfano wala sina muda wa kurudi nyuma na kufuatilia hiyo stori yako kwani mambo ni mengi na muda ni mchache. Wazembe wenzako ndiyo watakufuatilia.
 
K.O
Sehem ya pili
Siku hiyo boss Okendo alinipa ruhusa ya kurudi nyumban mapema kwani ni siku ambayo chama langu Liverpool lilikuwa kazini kucheza na stoke City saa 12 jioni

Wakati niko mpirani nachungulia kila muda Kama nimetafutwa lakini wapi
Majira ya saa tano usku nikiwa zangu kitandani naona simu inaita kucheki jina ni Ayesga ,,,,,,aaaa

Uku nikiwa na furaha ya ushindi wa liva basi + furaha ya kupata mawasiliano ya uyo mwanadada napata furaha+

Sikutaka kupoteza muda mara baada ya yeye kusema tuchati maana hawaruhusu simu shulen kwao ivo anaitumia kimakosa

Ilikuwa siku yangu ya kwanza kuchati adi saa tisa usku tangu nizaliwe na nijue uzuri wa maendeleo ya sayansi na teknolojia

"Duuuh sikujua Kama najiingiza kwenye dimbwi la matope au domo la Mamba"

Tuliagana usku huo na kutakiana usku mwema na jumapili njema
USINITAFUTE NITAKUTAFUTA MWENYEWE KESHO MCHANA AU USIKU
"Kauli yake ya mwisho kwa siku hiyo"
Yangu ikiwa Usjal kuhusu hilo

Kesho yeke hakunitafuta----- ikawa jioni ikawa asubuhi

Jumatatu asubuhi yaani siku ya pili ya juma akanitumia sms yenye ujumbe mrefu sanaaaaa ikisemaa (usku nitakucheki na uku akiomba radhi juu ya kile cha Jana) nilitamba sanaaaa

Kazini nilionekana mwenye furahaa sanaaa

FUATILIA KUJUA KILICHOTOKEA USKU WA KUAMKIA JUMANNE
 
Alinitafuta kweli siku hiyo akanambia kama nina muda na pesa nimtumie ili jumamosi aje kunisalmia na angedanganya kuwa anaenda nyumbani kwao bukoba kwani kafiwa na baba mkubwa wake

Alinipa namba ya mkuu wa shule msaidizi jina ( ) bahati nzuri alikuwa muhaya basi ile namba nikampa rafki yangu mmoja aliyekuwa akisoma bunda t.t.c
Ili ampigie amwambie habari za msiba huo yeye awe Kama kaka wa mwanafunzi

Jamaa angu hajawahi kuniangusha kwenye mishe Kama hizo

Kweli nilituma nauli kwa huyo mwalimu na kisha yeye kutoa na kumpa uyo mwanafunzi uku akimpa baraka zote na pole ,,kisha akamtakia safari njema

Ayesga aliamka saa kumi na mbili akajifanya anawahi mugumu stend kuwahi basi za mwanza to bukoba kumbe anawahi basi za mugumu to tarime

Dunia hii siyo mbaya ata kidogo binadamu tunaoishi humu ndo tunaifanya iwe mbaya

Kipindi icho mm bado naishi kwa dada angu aliyeolewa na mkurya mwenye roho nzuri sana sikutegemea kama ningepata shemeji Kama yule maishani mwangu
Kwani baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne aliniita fasta na kunipeleka VETA
Welding --fani nzuri sana aisee

Nikamwambia dada na shemeji usku ule wa jana naomba nikamtembelee rafki yangu niliyesoma nae veta uko zerozero one maana ni muda Sasa tangu tumalize sijawahi onana nae
Dada alikuwa mgumu sana kutoa ruhusa shemeji alimshawishi dada adi akakubali

Dada: una pesa ya nauli
Mimi :ndio
Shemeji akadakia Sasa unadhani adi anaomba ruhusa hajajipanga?

Inakuja sehem ya nne nzuri sana
 
Shemeji : alikuwa ananiita jina la kyoma
Nikaitika naam kyoma
"Hakikisha unaaga kwa uyo mjaruo wako
(Boss)

Nikasema sawa nitampitia wakati naenda stendi saa tatu

Kyoma alinipatia sh elfu ishirini kama hela ya kula njiani na shilingi elfu kumi nimpelekee uyo rafki angu Kama zawadi kwani aliwahi kumsaidia kupata kazi ya udereva uko mgodini kipindi tunasoma wote veta kupitia kwa kaka yake aliyekuwa mkarimani wa wazungu ivo yeye kupata ulaji wa miezi kadhaa ns kitita cha pesa kibindoni

Hauchi hauchi Sasa umekucha

Napokea sms inayosema natoka shule naenda stendi

Sawa safari njemaa tutawasiliana
Ukiwa kweye gari
Nachukua simu yangu nampigia soro rafiki angu Sana (sijui Yuko wp siku hizi)
Nikamwanbia hakikisha unatafuta guest nzuri sana anbayo iko pembezoni mwa mji wa tarime ,,akasema chukua boda uje uangalie hii iko uku maeneo ya REBU KAMA UNAELEKEA NORTH MARA mgodini
Kwake John Eche yes nakuja fasta kaka

Nikapitia kwa boss wangu ambaye nishamweleza habari za safari siku moja iliyopita ivo napita kuchukua ata hela ya pango angalau siku 2 au tatu

Boss alinipa sh 5O akasema nyingine atatuma Airtel money ( 30) apo nikawa na uhakika wa kula na kunywa na mpenzi wangu Ayesgaa mwanamke wa ndoto zangu tangu zamanii

Nikafka rebu kwa kaka soromon kweli ile guest ilikuwa ina hadhi ya kuishi na uyo binti aliyekuwa anakarbia kuingia chuo kikuu majira ya saa sita mchana nikapokea cm

Uko wp mm nimechoka Sana apa niko kwa Sehem imeandikwa Zacharia

--sehemu zenye neno Zacharia tarime ziko nyingi Sana je uko sehem yenye Zacharia nn?

Kama hutaki kunifuata nambie nirudi sawaaa eeee
Alijbu kwa hasira nikacheka kwa dharau yaani kiume aswaaa

Akasema niko zacharia kiwanda cha soda za cocal cola ohoo haaaaa yes wahoooooo my karbu sana chukuaa boda mwambie akulete mtaa wa rebu Kama unaenda majengo mapya alafu akuache guest moja imeandikwa new hope Kama ukipata Kanda maalumu TARIME ROLYA
Akaitikia nawewe uko wp?
Utanikuta apo getini
Sawa wangu nakuja
Aya sawaa asantee sana

Dk 5 ni nyingi alifka roho yangu ilifurahi sanaaaaa kuona ndoto zangu zinaenda kutimia japo sikujali pesa kiasi gani kitapotea na madhara ya badae

Potelea mbali taka taka ya chinaaa

Tukaingia chumbani kweli ni pazuri sanaa na sijawahi fika maeneo kama haya tangu naona ,,,,basi kila mtu anaona aibu kwa mwenzio ,,,akachukua taulo na kwenda kuoga

Nikabaki peke angu naangalia marudio ya Siri za familia kwenye TV

Uku roho inasema chukua cm yake
Ukague kama ana boyfriend mwingine

Nikashka cm naona sms zangu tu na call zangu tu,,akiwa amesave "2 be"

Nikavimba sanaaa na kukenua meno yote njeeeee
Haaaaaaaaaa kicheko kizuri Sana na cha furahaaa

Akili ikaja na wewe badilisha jina
Ayesgaaa---mtima wangu

Ohoooo akarudi toka bafuniii nikamwambia pole
Kwa upole pole ya nini uhuni huu tu unanipa pole ya nn sitaki

Unataka nn?
Akajbu nataka. ,,,,,chakulaaaa
Sawa usjal ngoja nikupe chakula
Nikatoa hotpot iliyojaa kiongozi wa meza
Na soda na mango kubwaaaa
Ya azam
Alifungua na kuanza kutoa chozi la furaha
Uku akisema Asante sanaaa my

Mimi: asantee kwa kuja wewe
Yeye: nawa ule ata kidogo basi

Wazeee nikahisi naanza maisha mapya,,nikasahau shida zote duniani
Nikawa mwepesi sanaaa daah Aya maisha mafupi Ila ni matamu

Naomba usiende mbali Sana Kuna

K.O * utapata funzo zuri sana*
 
Nashukuru sana Mungu napumua, matumaini Wana jf mko vizuri

Mwaka 2015 niliingia kwenye dimbwi la mapenzi na binti mmoja aliye kuwa kidato cha tano na Mimi nikiwa nimehitimu veta tarime mwaka huo,binti huyo alikuwa anasoma NATA GIRLS Serengeti mara

Ni kweli alichokipanga Mungu hakiwezi kupinduliwa na mwanadamu,, binti huyu niliwahi kumtongoza akiwa kidato cha pili akachomoa kipindi icho tukiwa bukoba mkoani kagera (nyumbani)

Uyu binti alipohitimu kidato cha nne nilimshawishi aende ualimu au nurse akachomoa akadai ndoto zake ni kufka chuo kikuu basi Mimi wazee nilikata tamaa

Nikaona ligi hiyo siiwezi kutokana na elimu atakayo kuwa nayo huyo mwanadada
Siku moja natoka zangu msoma naenda zangu tarime gafla niko Zerozero one gari letu likapata pancha.Tukateremka kumbe na yeye alikuwa kwenye gari lingine akitokea mwanza kwenda shulen baada ya likizo bahati mbaya kwenye gari lao walikuwa na mgonjwa gafla akakata roho ivo ikawalazimu wasimame ili wafany utaratibu wa kumsafirisha,,,,,,Kuvunjika kwa pakacha ,,,, nafuu kwa ...mchukuzi

Nikasogea karbu yake na kuanza kumpa Salam
Mambo Ayesga
Akajibu safiii za wewe,,,
Salam tu,wapi siku hizi!!
Akajibu niko NATTa girls
Wahoooo na mm niko tarime karbu na sirari kama unaelekea kwa Kibaki

Sikuwa mzembe nikachukua namba ake ya simu,,akanambia mm nitakutafuta wala usinitafute wewe nikasema sawa

Ilikuwa jumamosi saa nne nikaona namba ngeni,,bahati mbaya nilikuwa na boss wangu tunapima na kukata madirisha ya giriri

Bwana Okendo akasema pokea cm ya shemeji hiyoooo...(utani wa vijiweni ukafuuta)

Ile nataka kupokea cm ikakata duuh
Nikaibeep ,,,ikapga kumbe alikuwa binti Ayesga tuliongea mambo mengi Sana,,akanitaka tuchati badae after prepol
( Sijui maana ya prepol) nikaitikia powaaaa wa kwetu yaani wa nyumban

#fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

Inaendeleaaa....... Aaa
Futuhi za Jamii forum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom