Fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

Kweli mbuzi wa maskini hazai

Siku moja nikiwa kazini kwangu nakata bati kwa kutumia grenda gafla jiwe lile lilifyatuka kwenye grenda kutokana na ufungaji mbaya wa jiwe lile

Ajali ile ilisababisha vidole vyangu viwili kukatika vya mkono wa kushoto

Nililia sanaa kutokana na maumivu makali
Uku kwenye jicho (mboni) cheche moja ikiruka na kuganda ndani ya mboni

Nilienda hospital ya bomani tarime na kushindkana kutoka cheche hiyo

Nilienda hospital ya bugando nako pia ikashindikana,NILIAMBIWA NIENDE MUHIMBILI KWA AJILI YA MATIBABU ZAIDI

NILIMPA TAARIFA ZOTE MPENZI WANGU AYSEGA JUU YA AJALI NILIYOIPATA KAZINI

LAKINI CHA AJABU HAKUJALI KAMA NILIVOTARAJIA

nikamwambia kesho kutwa naanza safari ya kuja dar es salaam kwa MATIBABU zaidi
Lakini HAKUJALI pia,,

Shemeji yangu aliweka mafuta kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda hospital na hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kufka jiji la kifahari la Tanzania

Kufka kule hari ilikuwa tofauti

Fuatilia kisa hiki ,,,,,,
 
Nilipofka MUHIMBILI niliumwa sanaa jicho na kufanya lizibe kabsaa na kuanza kutoa tongotongo kila muda

Bahati nzuri daktari alikuwepo nikaandikiwa dawa ya kuweka kwenye jicho na badae (kesho) ningeweza kufanyiwa operesheni ndogo ya jicho

Asubuhi siku ya jumatano saa mbili niliitwa na kuingizwa kwenye chumba kimoja kizuri sanaaa na kupigwa sindano ya ganzi dk ishirini badae niliambiwa na dokta amka kijana asantee sanaa dokta

Kauli yangu nzuri na shkrani

Nikamwambia asantee sana dokta angalau nahisi kama naweza kuona baada ya kufumbua jichoo na kuona nilifurahi Sana

Nikampigia simu MPENZI WANGU AYSEGA bahati nzuri alipokea na kunambia Yuko kwenye vimbwata anasoma basi mm hilo neno lilikuwa likinichanganya sanaaa

Akanambia Kama nakaa adi jumamosi basi angekuja kuniona,, nikamwambia nitakuepo kwa rafki yangu mmoja niliesoma nae bukoba vijijini uko bugabo

Shemeji yangu aliweza kuondoka kurudi tarime na gari mm nikabaki kidogo kula bata kwa macho oo,,,nilifurahi sanaa kufka uwanja wa mkapa (Taifa)

Na kushudia mechi moja baina ya Simba vs ndanda ya mtwara,,nilikuwa na mwenyeji wangu mujuni rafki angu sanaaa

Nilijiona tofauti na vijana wezangu wa mjini

NILIKUWA KAMA NIMEPOTEA NJIA MHHHH KULE NI KUZURI TOFAUTI NA KWETU TANZANIA GIZA

Jumamosi asubuhi naongea na mpenzi wangu

Gafla naskia sauti ya kiume ikisema mwambie anakaa sehem gani twende tuwahi kurudi

Mpenzi wangu:EM CHUKUA CM UMPE UYO RAFKI YAKO ATUELEKEZE WAPI MNAKAA

MUJUNI;HELLO SHEM

MPENZI WANGU; MNAKAA MBAGALA SEHEM GANI?

MUJUNI : UKIFKA RANGI TATU NIAMBIE SHEM

MPENZI WANGU : SAWA

INAENDELEAAAAAA,,,,,,,,
 
Iwe malizia yona
 
Naona mambo ndio yanataka kuanza sasa T11
 
Habari za mchana,,,,
Dakika 20 simu ya mshkaji wangu (mujuni) iliita

Kuangalia jina kwenye kioo ni jina la shemeji wa kidato (mpenzi wangu)

Nilihisi furaha sanaaa kuona mpenzi wangu anakuja kunisalmia na kunijulia hari

Nilianza kupata aibu nilipo kuwa naangalia vidole vyangu vya mkono wa kushoto 2 vilivyokatika na kubaki vigungu

Nikajikaza kiume na kusema yote ni mpango wa Allah

NIKIWA KITANDANI NIMELALA UKU NIMEANDAA ZAWADI NZURI YA ALBAMU ILIYOJAA PICHA ZANGU NA YEYE ILI AKIJA NIMPATIE KAMA UKUMBUSHO

NILISIKIA SAUTI YAKE NZURI NA NYORORO AKIWA ANAONGEA NA SHEMEJ YAKE

KAKA. ,,,,naam niliitika kwa furaha amka shemeji huyu apa
. ,,,, Kuchungulia naona Kaka mmoja amebeba mkoba wa mpenzi wangu

Nikashangaa na kushutuka kidogoo ,,,

Karbu ayesga MPENZI WANGU,,,

Aliitika kwa shingo upande Asante kaka angu

Eeee!!!! Vp mpenzi wangu za masomo?

Alijbu:nzuri pole na matatizo,,
Nilijibu:Asantee sana nshapoa

Wakati huo yule Kaka alikuwa bize Sana na cm uku AYSEGA nae AKIWA bize sana na simu yake ,,, alikuwa na cm nzuri na kubwa

RAFKI ANGU ALITAKA UTAMBULISHO

MPENZI WANGU AYSEGA ALISEMA

UYU NI MUME WANGU" akimshka kwa bega yule jamaa

Akasema Johnson,Hawa apa ni marafki zangu tunatoka mkoa mmoja na wilaya moja ,,Ila kata tofauti na tarafa tofauti,,uyu apa ndo mgonjwa tuliyekuja kukuona
(Mimi)

Mhhhh niliguna na kuanza kutoa machozi
Nilijikaza kiume lakini nikashindwa

Yule Kaka akampa AYSEGA begi lake akatoa elfu kumi na kunipatia Mimi Kisha akasema pole Kaka angu

Yule kaka akashika mfukoni nae akanipa elfu tano,,nikasema Asante Sana broo

Nikaanguka chini sikujua nini kilichonipata

Nilishutuka watu wamekaa pembeni yangu wananipepelea

Sikumkuta ayesga wala yule Kaka

Daaah sikuamini nilicho kiona kwa macho yangu ,,,,alikuwa amevaa kaptura na tisheti ndefu sana

Niliumia Sana kuona mavazi Kama yale kwa mwanamke niliyekuwa na ndoto nae

Mbuzi wa maskini hazai naendelea kukutana na K.O usku ule ule

Cm ya rafki angu ikaita kumbe alikuwa ni mke wake aliyezaa nae mtoto mmoja akimtaarifu kuwa mwanae aliyekuwa amelazwa uko Arusha amefariki dunia

Simu hiyo aliipiga dada wa shemeji

Tulilia sanaaa na kuumia sanaa maaana binti uyo alikuwa darasa la tatu ivo halikuwa jambo jepesi

Tulipanga safari usku huo huo

Yeye anaenda Arusha na mm naenda mwanza -tarime

Karbuuu sehem nyingine ,,,,,,,,,
 
Nikiwa safarini naelekea mwanza nilipokea cm ya mkuu wa chuo cha ualimu ( )
Akinipa mchongo wa kutaka kupaua nyumba yake kwa bomba za chuma

Kipindi icho nilishakuwa na jina kubwa pale kazini kutokana na uaminifu wangu

TULIONGEA SANA NA KUFIKIA MUAFAKA IVO AKANITAKA NIKIFKA TARIME BASI NIMJULISHE

Sikufanya kosa japo jicho langu na vidole bado havijakaa sawa ongeza maumivu ya kuachwa saa sita mchana kweupe,, nilijikaza kiume na kumwambia niko tayari

Akanambia njoo eneo moja linaitwa nkende watu wa tarime wanapafahamu vizurii

Kufka pale nyumba ilikuwa kubwa na ya kisasa ( guest &bar)

Akanambia kijana ukinifanyia kazi nzuri nitakupa zawadi nzuri sana ambayo huwezi kuisahau kirahisi

Mwanzo kabisa aliniulza habari za ufaulu wangu na elimu yangu,,niliweka wazi kila kitu kwa prinsipo huyo wa kichaga

Nilifurahi Sana kupata tenda kubwa Kama hiyoo,,,nilijua kabsaa apa lazima nianzishe ofisi yangu ya kipekee adi nakabidhi kazi hii

Mwezi wa nne tarehe 12..2017 nilikabidhi kazi ile kwa mwajiri wangu na yeye bila hiyana alinilipa pesa yangu yote na Mimi nikawalipa mafundi wezangu na hela nyingine kuipeleka kwa boss wangu

Ilikuwa siku ya jumatano saa mbili kasoro usku napokea cm toka kwa mkuu wa chuo akisema

"Uko tayari kusoma"? Nikamuulza
Kusoma nini?
Akanambia ualimu wa shule ya msingi

Nikamwambia ndio baba niko tayari

Basi kesho asubuhi naomba uje na vyeti vyako vyote apa kwngu,,jitaidi Sana kuwahi fundi a l i s i s i t i z a
Nikajbu sawa mkuu

Bahati nzuri nilikuwa na vyeti vyote isipokuw cha kuzaliwa tu

Akasema hakna shida utatafuta badae icho,,,akaongeza simu yako iwe hewan masaa yote 24 nikasema haina shida

Nikarudi nyumbani kumweleza dada na shemeji yangu juu ya jambo hili

Sister alifurahi sanaa na kusema Basi nitaongea na mama vizuri ili aweze kuandaa ada na nahitaji mengine

Nikamwambia dada mm ada ya kulipa miaka miwili ipo kikubwa nipate nafasi ya kwenda kusoma

Ndani ya mwezi mmoja mkuu uyo alinipgia cm akinitaka niende kwake nilifka kwake hayupo akasema njoo moja kwa moja chuoni*

Nikachua pikipiki yangu na kwenda adi chuoni apo

Akanipa barua yenye fomu ndani YAKE ya chuo cha ualimu KASULU ( MHHHH NILIGUNA NA KUSEMA ASANTEE SANA MUNGU)

MAANA HALISI YA NENO CONNECTION
,

MWEZI WA NANE NILIANZA SAFARI YA KURUDI NYUMBAN BUKOBA TAYARI KWA KWENDA KUSOMA UALIMU UKO KIGOMA
KATIKA MJI WA KASULU HAAAAAAAAA,,,,AAAAAAAAAAAAAAAAA KAMA NAOTA VILE

nilifurahi Sana wala sikutegemea suala Hilo ndgu zangu ,, Mungu yupo tena anatupenda sanaaaaa

Usiende mbali Sana,,,,,,,,,
 
Hello hello

Mwezi wa nane nilienda chuoni KASULU nakuanza maisha mapya nilikuwa nahisi furahaa sanaa

Wakati huo nilikuwa nawasiliana na ayesga MPENZI WANGU wa zamani

Mara moja moja kwa mwezi au mara mbili

Niliona fahari Sana japo sikuwahi kumwambia kitu chochote kuhusu mimi kusoma ualimu

Mwezi wa kumi na moja mwishoni nilibahatika kumuona bukoba mjini akiwa stendi wakati huo mm nakuja likizo yeye anaenda Duce kumalza masomo yake

Ila hatukuonana uso kwa uso badae nilimtumia sms nikimjulisha kuwa nilikuona stend siku moja,,

Alikasirika sanaa kuona sikumshutua hili tusalamiane

Maisha ni duara / mviringo

Mwaka 2019 nilibahatika kuhitimu masomo yangu na kupata cheti changu kizuri sanaaaa

Na yeye akawa amehitimu chuo kikuu,,,

Mungu ni wetu sote baada ya kuhitimu masomo yake alikuja kuomba kazi ya kufundisha (kujitolea) shule ambayo
Nafahamiana na mkuu wa shule wa apo

Nikiwa mtaani mwalimu huyo aliinita nikamtengenezee shubaka ( kabati ya ukutani) ya kutunzia vitabu shuleni kwao ya kuchomelea

Nilifunga safari na kufka shulen apo na kuanza kazi gafla nakutana nae AYSEGA

Alianza kujichekesha na walimu wengine apo japo,,nilikuwa naongea nae uku nikikumbuka fedhea aliyo nitendea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom