FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Leo pale jangwani wanaenda kukutana na mafuriko ya azam energ watakunywa energ tatu safiiii kabisa.Harafu azam atakua anashushia azam embe kwa ushindi
 
Hii game ya leo itakuwa ni moto sana, mashabiki wa Yanga Sc wasitarajie mteremeko kwa namna yoyote ile.

DRAW.
 
Sioni timu mle ya kumfunga Azam leo.

Uto na papatu papatu zake akijitahidi Sana atasuluhu!
Hii game ya leo itakuwa ni moto sana, mashabiki wa Yanga Sc wasitarajie mteremeko kwa namna yoyote ile.

DRAW.

Tunaomba hizi kauli zisibadilike baada ya mechi ,maana kawaida ya Makolo baada ya Yanga kushinda utasikia kauli mbalimbali mara mmekutana na timu dhaifu ,bahasha nk
 
Naitwa Wakipekee toka mjini JF Naitakia Yanga ushindi mnono dhidi ya lamba lamba....

Natuma salamu Kwa Simba a.k.a Kolo wizard namwambia tunarudi kileleni ajiandae kisakolojia, salamu za pili Kwa Al ahly namwambia ajiandae kucheza na wanajeshi baada ya kutoa Sare ya goli 2-2 na kurutu a.k.a mgambo kolo mwisho natuma ujumbe Kwa wananchiiiiiiiiiiiiiiiii wote duniani nawaambia wawe na amani wajiandae Kwa burudani Safi Sana itakayofanya wahisi wapo peponi....

 
Back
Top Bottom