Jana katika mchezo wa Simba na Coastal Union mchezaji bora kapewa Chilambo, lakini kipa wa Coastal alikuwa bora zaidi japo aliconced goli moja.
Chuma Ramadhan golikipa wa Coastal kasevu mashuti saba kati ya nane yaliyo lenga lango.
Ni sawa na mechi ya laliga jana usiku kati ya Barcelona na...
Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3 muhimu.
Yanga SC imeanza kampeni yake ya Ligi Kuu ya NBC kwa ushindi, ikiondoka na alama tatu muhimu...
Yanga wanashuka dimbani muda huu kucheza mchezo wake wa ligi kuu NBC dhidi ya TRA.
Moja ya mchezo mzuri na muhimu kwa Yanga kujihakikishia ubingwa
Lakini pia hata TRA nao wanataka kumaliza top 4
===========
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka...
Wakuu leo mechi nane zitapigwa za NBC Premeir league lakini Jambo kubwa ni kati ya Yanga dhidi ya Azam FC. Je, Yanga wataweza kujishikilia dhidi ya utofauti wa point mbili kati yake na Mnyama Simba.
Ikumbukwe Yanga ana majeraha baada ya kipigo kitakatafu dhidi ya Azam hao hao kwenye kombe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.