SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,450
Hizo neema za Mungu ndo zimetuweka kileleni mwa msimamo wakati wewe ukifukuza upepo.
Hebu utag hapa mkuu inaonekana niliumissWewe jamaa Yanga inakutesa sana. Ngoja niufufue uzi wako ule maarufu wa takwimu za kibu d na mayele
Ok mkuu tayari nishaupa uhaiHebu utag hapa mkuu inaonekana niliumiss
Kama ManulaNi mwendo wa OG tu
Own goal na point tatu kibindoni, possession za kutosha, mpinzani anaomba mpira uishe. Nyie endeleeni kushinda kwa tabu huku mnapelekewa moto mkiomba mpira uisheNi mwendo wa OG tu