Naona kuna wapuuzi wanataka kusema refa kaipendelea Yanga kisa kutoa kadi nyekundu kwa coastal union.
Kadi nyekundu coastal union walistahili kwa beki wa mwisho kumvuta jezi Aziz Ki.
Kwa anayejua mpira na anayefahamu mpira ile kadi nyekundu ni ya halali.
Huwezi ukamvuta jezi mchezaji anaeenda kufunga halafu uachwe.
Ila hao simba walisahau walicheza na Mashujaa wakiwa pungufu uwanjani na wakashindwa kuwatoa katika kombe la shirikisho CRDB.