BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Kwani waarabu wakishinda kuna shida kamañda? Mbona freshi tu, si ni wote waafrika tu!Wakizembea hata waarabu watawashinda, Norway kampa mwarabu chuma zake nne, Haaland kaweka mbili, hawana utani na mtu sasa Senegal muache alete u pan Africanism wake ataelewa show.
Mfano wakikutana morocco na ufaransa utashabikia nani?