FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

Senegal wameisha
Senegal wamefanya kosa la kimkakati/strategic mistake keenye kipindi cha pili! Waliacha kuwaheshimu wakadhani wako level moja baada ya kuwabana vilivyo kipindi cha kwanza. Kipindi cha kwanza Senegal waliwaheshimu sana ufaransa wakawa wanasubiria kaunta attack! Walivyodhani wamewamudu na wako sawa, kimbunga tumekiona wenyewe! Algeria wasirudue kabisa makosa ya Senegal watakapocheza na Argentina!
 
Hao Algeria hawatopata kabisa hata hii fursa aliyoipata Senegal first half
 
Kiuhalisia hawa wote ni Waafrika tu, maana Ufaransa ina wachezaji wengi wenye asili ya Afrika. Hii ni moja ya mechi tamu zaidi kwenye World Cup 2026. Sasa sijui niwe upande gani, maana timu zote mbili nazishabikia.
Hao ni Wafaransa kutoka Ulaya magharibi waliocheza na Waafrika kutoka Senegal.

Hiyo asili isikuchanganye..
 
Tofauti hii ya kufikiri ndio inafanya wazidi kutupiga gap kila siku. Wao wanaamini Mfaransa anaweza kuwa yoyote yule haijalishi rangi yake wala asili yake.

Sisi sasa.
Exactly....wadau wamesahau 'Assimilation policy' walioisoma sekondari.

Kuna watu wanasema eti wale wachezaji wa Ufaransa ni Waafrika wakati wale ni Wafaransa kutoka Ulaya magharibi.
 
Senegal kama wakiendelea hivi hata Iraq itawashinda, wameshindwa kurudi mchezoni kabisa, pale Kati Wana watu wengi lakini hamna kitu, kocha nae mzinguaji, mechi ijayo inabidi afanye maamuzi magumu...

Mechi ijayo watakutana na Norway na wale Jamaa Vikings hawakosagi nafasi hovyo kama Sarr, Wana Haaland na Sorloth hawa wote Wana deadly attacking capability, ni pure strikers kabisa naturally, mipira ikipenya tu goli.
Mkuu Senegal wamenikeraa mno..
Ngoja wakutane na hao wataelewa somo.
Shida ya straika zetu sijui nini..ona wanaojua wakipata..ndio maana wanaendelea kuwa bora maisha na maisha
 
Walibahatisha tu, umeona kipigo walichokutana nacho! Wengi hawampendi morocco sio tu kwa sababu ya ile kauli ya mchezaji mmoja tena haina ukweli wowote, ni chuki tu. Ila morocco atabakia kuwa the giant
ARG 3-0 ALG, FT
Morocco wa moto ..wanajielewa..unaona kabisa pira lao limeiva..si hawa vibaka vibaka.
Algeria walimwacha Messi anatembea tembea tu..kimewatafuna
 
Mkuu Senegal wamenikeraa mno..
Ngoja wakutane na hao wataelewa somo.
Shida ya straika zetu sijui nini..ona wanaojua wakipata..ndio maana wanaendelea kuwa bora maisha na maisha
Wakizembea hata waarabu watawashinda, Norway kampa mwarabu chuma zake nne, Haaland kaweka mbili, hawana utani na mtu sasa Senegal muache alete u pan Africanism wake ataelewa show.
 
Shida ya timu za Afrika kwa sasa ni ile dhana kwamba makocha wazawa wanaweza wakafundisha timu na ifanye vizuri hata kwenye mashindano makubwa kama haya kitu ambacho sio kweli kabisa.

Kwenye mashindano makubwa kama haya tupende tusipende lazima tuwe na makocha wazungu wenye weledi na ujuzi mkubwa wa kuweza kufundisha mpira wa kiwango cha kombe la dunia.

Yule kocha wa Senegal hana ujuzi wa kuweza kubadili mbinu pale anapotakiwa kufanya hivyo na hata kufanya tu sub hajui muda gani afanye sub ili kubadili sura ya mchezo.

Timu zote za kiafrika zilizowahi kufanya vizuri kwenye kombe la dunia hazikuwa na makocha wazawa toka Cameroon 1990, Senegal 2002, Ghana 2010 na Morocco 2022 kwani yule kocha wa Morocco ni mwafrika jina tu kwani hata kuzaliwa tu hakuzaliwa Afrika.

Lazima tukubali kwamba wenzetu wazungu wanatuzidi kwa kila kitu na ndio maana hata timu ya Ufaransa yenye wachezaji wengi weusi wanafanya vizuri sana kwa sababu wana makocha wenye weledi na ujuzi mkubwa na haohao wachezaji unakuta wangekuwa hapa Afrika kamwe wasingekuwa hapo walipo kisoka.

Kuna mambo hayahitaji uzawa lazima tu twende na uhalisia hata Taifa Stars alipotemwa kocha mswahili akawekwa mzungu ndio hata ilipoitoa jasho Morocco.
 
Duh!...umewadunisha mno makocha wazawa.

Hao makocha wazawa na wao wanafundishwa kozi za Ukocha na hao hao wazungu.
Scars
 
Yule kocha wa senegal ni mzaliwa wa ufaransa ila asili ya senegal na ana uraia pacha kati ya senegal na france, sijui ulitaka kusemaje ngozi nyeusi au utaifa ndio tatizo?
 
Senegal walijitahidi kadri walivyoweza kuanzia nyuma hadi kwenye kiungo ila kwa siku za hivi karibuni senegal wanakosa CF makini tu. Yule Jackson ni mbolea kabisa na wala hakuwa tishio lolote kwa beki ya ufaransa.
 
Back
Top Bottom