FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,156
50,227
1711109587818.png

Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki.

Ni matumaini yangu Azam watatubariki na hii mechi tuone kama vijana wetu wame improve tokea wacheze AFCON.

Karibuni tupeane updates.
 
Tv ipi itaonesha huu mtanange?
 
Tukumbushane timu zote zipo ugenini, kwahiyo tusitegemee kuona shamrashamra uwanjani.
 
Back
Top Bottom