Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,846
Sio haijaisha mpaka iishe?....??Imeisha hiyooo...๐๐๐๐
Sio haijaisha mpaka iishe?....??Imeisha hiyooo...๐๐๐๐
Imeisha sare ya 2:2 sio๐คฃ๐คฃ๐คฃImeisha hiyooo...๐๐๐๐
Eeee yani imeshaisha imebakia kuchezwa tuu..Sio haijaisha mpaka iishe?....??
Mbona nyie mlifumuliwa na Ihefu na Azam...kwani matokeo yalibaki hivyo hivyoImeisha sare ya 2:2 sio๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ipo wazi kama ya mbuziJiandaeni kuchukua kono lenu.....
Nilikuwa mbali kabisa na simu...sasa nimekaa kitako...wasemaje?Eeee yani imeshaisha imebakia kuchezwa tuu..
Hapana lakini we have vision na tuna uhakika na ushindi kwa 99.9% tofauti na KolozMbona nyie mlifumuliwa na Ihefu na Azam...kwani matokeo yalibaki hivyo hivyo
...๐๐๐๐๐๐
Wakiwazodoaga chadema mnaonaga ni sawa ila kwa simba mnalalamika
๐๐คฃ๐๐ Pole iende kwa wachezaji mtani, ndicho wameamua kutupatia๐๐คฃ.๐คฃ๐คฃ๐คฃ Pole sana Mtani.
Hawajataka muishi kwa raha kuelekea tarehe 19 mtani. ๐คฃ๐คฃ๐๐คฃ๐๐ Pole iende kwa wachezaji mtani, ndicho wameamua kutupatia๐๐คฃ.
๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ ๐๐ Haya ni nusu,Hawajataka muishi kwa raha kuelekea tarehe 19 mtani. ๐คฃ๐คฃ
Yaani ni majonzi ambayo yatakutana na majonzi mengine. Lol.