Punguza ushauriMashabiki mjitokeze kwa wingi leo uwanjani kuitazama hiyo mech ili mshinde goli nyingi na hivyo timu kupata hela ya kutosha ya kiingilio, na ile ya goli la mama!
Kumbukeni njaa haina baunsa.
Sipunguzi mpaka mtakapofuzu hatua ya makundi.Punguza ushauri