Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
Baloteli anaingia na ndege ya SAA ngapi?
Huyo ni kolo aka mbumbumbuIkijaza ndo ntakua mmebeba kombe![]()
MbumbumbuMe si mfuatiliaji wa soka la bongo ila lakini hii simba day gumzo kila kona.
Mwaka jana Mazembe waliwafanya nini au ndio umbumbumbu?Nakazia
Mwaka jana tulimgonga mtu 2-0, Kibu alifanya majaribio ya kombora alilokuja kuwaua naloMwaka jana Mazembe waliwafanya nini au ndio umbumbumbu?
Serikali iunde kamati kuchunguza hili ,Simba ndio timu ya nchi😝😅😂Mods Kwanini walifuta Uzi wetu wa Simba wa Live Updates?
Ticket zetu tumemaliza Siku 2 kabla ya Tukio, Kwanini tusifungue uzi wetu wa live updates Masaa 6 Kabla?

automatically na makusanyo ya sadaka yamepungua Kwa kiasi kikubwa sana .

Hee mambo yameanza