FT: Simba 6 - 0 TRA | AZAM FEDERATION CUP | Azam Complex

Punguza Jaziba Mkuu.

Tengeneza Timu Usidhani Mtafanya Vizuri Kwa Timu Mbovu.
Timu Yao hiyoo😁😂
20240228_125857.jpg
 
Kama kule mlicheza na wanaume wa shoka basi ihesabiwe..!
Kule hakuna timu iliyopigwa goli nne na Yanga kwenye hatua ya makundi mpaka fainali ila huku kwenye champions league kuna timu imebamizwa goli nne.

2) TP Mazembe na Asec walikuwa kule na hawa wote kwasasa wamefuzu mapema kabisa na kwasasa wanaongoza kundi.

Sasa kuhesabia au kutokuhesabia mashindano ya CAFCC yalikuwa kuwa wanaume au wanawake ni kazi kwako.
 
Back
Top Bottom