FT: Simba 6 - 0 TRA | AZAM FEDERATION CUP | Azam Complex

So far kanoute hatrick...
Fred goal moja
Chasambi Moja
Dakika 61'
Simba 5-0 TRA
 
P
Anachofurahisha zaidi, akipata mpira akili yake inawaza mbele sio wengine ambao wakipaata mpira akili zao zinawaza kufunga kwenye goli lao. Na hapoozeshi mpira
anacheza kwa kutumia akili sana kwa umri wake nimependa.
Ameelewana vizur sana na duchu kule juu ......ifike mahala Mwalimu aanze kuwaamini Hawa vijana ......maana ndo timu ya kesho.
Duchu
Israeli
Chasambi
Karabaka
Kazi
Barua
 
Unatoa hela kabisa uangalie hii mechi aisee.

Ni kama ile ya Yanga alompiga mtu nyingi kabla ya mechi ya CAF, au ile ya juzi ya Al Ahly aliyompiga mtu 5.
Ni mind games hizo kumtisha ajae.

Nilijua tu simba lazima ashinde zaidi ya goli 3.
 
Back
Top Bottom