DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,610
- 17,825
Zingelipiwa Mzunguko.ingesoma Sold OutZimelipiwa.
Zingelipiwa Mzunguko.ingesoma Sold OutZimelipiwa.
Sawa ila Mbona Mzunguko.haijawa sold out
Utajinyea dogo kufuatilia ya watuUnaota
Hawawezi kukuekea hapo ila Leo watu mzunguko wengi tu wameingia BureSawa ila Mbona Mzunguko.haijawa sold out
Sio kwamba zimelipiwa kwa asilimia hizo?Zingelipiwa Mzunguko.ingesoma Sold Out
Hawawezi kukuekea hapo ila Leo watu mzunguko wengi tu wameingia BureSawa ila Mbona Mzunguko.haijawa sold out
YEah yaani zimeisha zote kwa hiyo %Sio kwamba zimelipiwa kwa asilimia hizo?
Baadae usikimbie mkuuMuarabu lazima atapike ftari yote ya leo na wakati wa daku inabidi matumbo yao yagome kupokea chakula
Mambo ya CCM haya uongo uongo
oya Simba akiwa kwa mkapa kama livepoor akiwa Anifield hatokei mtu lile ni kaburi la Lucifa hutaki unataka hupendi unapenda lazima ugeuziwe kibraHii game ngumu..ngoja tuone,ila uwanja utainama..