black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 563
- 805
Leo wananchi watacheka sanaa
Tuliza kishundu huku wanacheza wanaumeKwa mpira huu wa papatu papatu, mna nafasi finyu sana ya kufika robo fainali msimu huu. Hatua hii mnaweza kupita. Ila msitarajie makubwa kwenye hatua ya makundi.