ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Matokeo ya mechi ya Leo hayatabidiri chochote kuhusu nilichokiandikaNi
kweli mshalambwa mkia tayari au ubuyu wa Tandika huu????
Siku hazifwananiii...Nimeangalia Goli La Simba Katika Marejeo Ya Picha. Tuachane na Mpira Kutoka, Ila Kanoute Amechoka, Kuanzia Move Inapotengenezwa Hadi Goli Linapo Fungwa Yupo na Anaenda Tuu anaangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Enzi zile Kanoute Hata Kabla Pass haijatolewa anagekuwa ameshalala na Yule Jamaa
Hili Goli Kanout baada ya Kuona Onana Kaanguka Alitakiwa kuziba nafasi Harakaaaa, Basi kachelewa lakini kamkuta Jamaa na Kamsindikiza Hadi anatoa Pass [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Unanikwoti huyo mbashiri kabeti analazimisha...sio mtabiri
Goli la Simba? Kwani Simba kashinda?Nimeangalia Goli La Simba Katika Marejeo Ya Picha. Tuachane na Mpira Kutoka, Ila Kanoute Amechoka, Kuanzia Move Inapotengenezwa Hadi Goli Linapo Fungwa Yupo na Anaenda Tuu anaangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Enzi zile Kanoute Hata Kabla Pass haijatolewa anagekuwa ameshalala na Yule Jamaa
Hili Goli Kanout baada ya Kuona Onana Kaanguka Alitakiwa kuziba nafasi Harakaaaa, Basi kachelewa lakini kamkuta Jamaa na Kamsindikiza Hadi anatoa Pass [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ameshaliona goli linakuja...Goli la Simba? Kwani Simba kashinda?
Ndo ivosimba tunapigwa leo
Hahahahhaha..msimpe jaka moyo jamani na yeye ana familiaNikisema kibu D atoke mnanielewa sasa
hovyo sana basi tuh tunalea ujingaNdo ivo