FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Dharau zimetuponza, dah!

Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
 
Dharau zimetuponza, dah!

Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
Kocha alipanga kikosi dhaifu sana kipindi cha kwanza. Wachezaji walikuwa wanacheza kama wako mazoezini.

Kiukweli wamestahili kabisa kufungwa.
 
Ushabiki wa kizamani sasa Nkane alisajiliwa ili iweje, Nkane huyo huyo ndiye aliyekupa droo ktk fainal ya Azam Confederation na ukachukua ubingwa kama kupigwa tushapigwa,hasilaumiwe mtu.
Uko sawa mkuu
 
Kumbe watu mlikuwa na maumivu makali hivyo? Nimekatisha kkoo utadhani Mikia mmebeba ndoo ya Africa 😀
 
Back
Top Bottom