FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Hili kombe simba wanalitaka. Naona hadi Benchikha anasimama kutoa maelekezo huku akipanga kikosi cha kazi. Jana Gamondi alikuwa kakaa tu chini muda wote huku akikunja zake nne kama mtazamaji tu huku akipanga chipukizi wa kutosha.
 
Kwa hiyo kifupi ni kwamba Yanga hawalitaki hili kombe, au sio?
 
Usifananishe Muuza matikiti Maji Wa Aires Buenos Argentina na Kocha Wa Boli
 
Hakuna namna hao wawili wanaweza kufanana, mmoja wapo (ngoma) ana profile kubwa sana kimpira kuliko huyo unaemuita the tank.
Hata Ntibazokiza ana PROFILE kubwa sana kuliko mchezaji yoyote yule hapa bongo lakini current huwezi kumfananisha na Pacome zouzoua.
 
Hili kombe simba wanalitaka. Naona hadi Benchikha anasimama kutoa maelekezo huku akipanga kikosi cha kazi. Jana Gamondi alikuwa kakaa tu chini muda wote huku akikunja zake nne kama mtazamaji tu huku akipanga chipukizi wa kutosha.
Benchikha anasimama ni kama anahisi wachezaji wake hawamuelewi. Anachokitaka Benchikha hawa wachezaji hawafanyi kabisa na unaona waziwazi. Benchikha hapendi wachezaji kuwaza nyuma wapatapo mpira. Hapendi kupoozesha, hapendi kujisahau, hapendi back passes, hapendi kuchelewesha kutoa pasi, hapendi kupiga pass fyongo. Anataka total football, anataka wachezaji wafunguke wakiwa na mpira, waainue macho wakiwa na mpira. Kwa kifupi wachezaji wa Simba wana matatizo mengi kuliko maelezo. Ni kama hawana brain nzuri ya mpira au wana stress flani hivi.
 
Leo ni tar 1, mwezi wa 1 mwaka 2024. Ndio kwanza mwaka 2023 hatujausahau vizuri, huko Zanzibar UKUTA WA YERIKO umeisharuhusu bao Moja. Huu mwaka wataogelea magoli. Na Simba yenyewe Iko full kabisa.
 
Yaani hii nayo ni ya kuanzishia uzi, si ungecomment tu kule kwenye uzi unaoendelea? Simba kuruhusu goli inahitaji uzi mpya?
 
Kwa hiyo kifupi ni kwamba Yanga hawalitaki hili kombe, au sio?
Hili nalo la kuuliza? Unashindwa kujua kuhusu u- serious wa jambo? Hii michuano Yanga hawajaonesha u- serious na ndio maana umeona jana wamepangwa hadi watoto na hukumuona Gamondi akiinuka kwenye benchi. Katulia tu tuli
 
Back
Top Bottom