FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo huku ukuta ukiwa umeelemea Ruvu

Naaam mpira umekwishaaaaaa Simba SC wakitakata kwa ushindi mnono wa mabao manne kwa bila

FT: Ruvu Shooting 0-4 Simba SC
 
Back
Top Bottom