Sana sana dearKwakweli ameucheza mwingi sana leo. Bila hivyo wangeyaoga sana.
TAKUKURU wachunguze pia zile 4-1 za Yanga vs Singida Big Stars. Nyani haoni makalio yake.Hapana hapa nawasiliana na TAKUKURU wachunguzw bila shaka ni fixed hii
Ahsante sana Chama, CCCAsante Simba ahsante Boko
Kama upo kwenye industry ya mpira haihitaji nguvu kujua labda kama unakuwa unaangalia mechi na kuzima data ya Simu yakoInapendeza sana unavyofuatilia habari za Simba SC, gud.
Read between the lines mkuuTAKUKURU wachunguze pia zile 4-1 za Yanga vs Singida Big Stars. Nyani haoni makalio yake.
Nunua juice upoze kooRaha mnooo
Na sisi ngada tunapokea kwa mikono mi2Hongera sana Ngada fc,sisi hatuhitaji kuanzisha nyuzi nyiiingi,tunawapa tu hongera baaasi.
Na bolii litembeeeHongereni watani. Kila mtu ashinde mechi zake.