Typing error hiyo , haiwezi kuwa kupagawa Mimi nimeacha ushabiki wa mpira kitambo sana stage by stage nilianza Ulaya mwaka huu bongo . Kwa sasa sina mood za kucheki game zozote hata international hata kufuatilia habari za sports kwa shida sana mara Moja Moja..