FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la kusawazisha, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup.

Game is on.
Hivi huwa mnaangalia mpira kwa kutumia nini, hilo goli Gabon wamepatia wapi? Kama hadi hilo mnakosea tuwaamini vipi kwenye maoni ya performance ya mchezaji?
 
Hivi huwa mnaangalia mpira kwa kutumia nini, hilo goli Gabon wamepatia wapi? Kama hadi hilo mnakosea tuwaamini vipi kwenye maoni ya performance ya mchezaji?
Kwenye livescore wanaomesha Mayele
Screenshot_20230618-225433.png
 
Punguza makasiriko, wenzako tuna angalia boli huku tunashushia na whisky, wahi ukale kesho baniani anakungoja akusurubu, usitufuatishe wenye government bond.
Mbona siku zote tumekuwa tukiwasema humu kuwa mashabiki wa Yanga ni walevi

Sasa kama hapo umelewa hujui kuwa ni goli la uongozi we unakuja kusema wamesawazisha

Halafu stimu ya namna hii sio ya whisky, ni gongo labda kama umeinywea kwa chupa ya whisky
 
Back
Top Bottom