FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

jamaa ni hatari sana,yanga washakubali ni bora aende tu
Ni biashara ya soccer, kawaida tu ili mradi club inufaike.

Kuna watu wamemuharibia sana Fei Toto, mpaka sasa thamani yake ingekuwa juu na timu ya Taifa angeendelea kung'ara.

Ona wachezaji wote Yanga waliofika fainali thamani zao zimepanda na hata National team zao wanachukuwa namba.
 
Kwa ujinga huu ipo siku mudathir atafungia goli stars halafu mzamiru na zimbwe wakienda kushangilia uto mtakuja tena kusema tumeona wachezaji wa simba wanashangilia goli la mchezaji wa yanga.

Uwezo mdogo mno wa kufikiri au tuite ufinyu wa akili.
 
Jana baada ya goli la pili, na hata baada ya mchezo kumalizika; wachezaji wote wa Dr Congo waliungana na Mayele kutetema!

Hakika llikuwa ni jambo la kushangaza sana.
Wewe kweli kilaza yaani wachezaji kushangilia goli walilofunga ni jambo la kushangaza?
 
Kwa ujinga huu ipo siku mudathir atafungia goli stars halafu mzamiru na zimbwe wakienda kushangilia uto mtakuja tena kusema tumeona wachezaji wa simba wanashangilia goli la mchezaji wa yanga.

Uwezo mdogo mno wa kufikiri au tuite ufinyu wa akili.
Kwani ukikiri kuwa Inonga katetema,unapungukiwa na nini!?
 
😀😀😀😀 kwa hiyo hujui hata unafurahia nini? ndo maana nchi inauzwa kwa sababu ya watu wa aina yako maana uwezo ni kiduchuuuu😀😀
Wakikuuza na wewe itkuwa poa sana,kikubwa wanipe mgao wa mauzo yako
 
Wakikuuza na wewe itkuwa poa sana,kikubwa wanipe mgao wa mauzo yako
Nimefurahiii umejaa kwenye mfumo😀.
Ifike wakati JF wasort watu kutokana na uwezo wa kufikiri.😀 ili watu kama wewe wabaki FB hukoo. Huku tubaki sisi wenye akili zenye kujua nini tunataka.
 
Back
Top Bottom