ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 14,017
- 27,649
Hio penalty aisee kumbe waamuzi wa bongo tunawaonea tu
Hawajui calculation.Waliobeti ufaransa mko wapi?
Tulial mkuu France kpnd cha pili anakupa usicho tegemeaFinal nzuri ni wapige matuta, hii inaisha kizembe tu dk 90 imeisha hiyo, fina gani imekosa amsha amsha ishiiiiiy
Balaaa,anawaaga kiboss hatareeeMchezaji bora kuwahi kutokea duniani
Basi utakuwa muujiza maana.Tulial mkuu France kpnd cha pili anakupa usicho tegemea
Ronaldo usikute kashavunja tv na kuanza kuziraDunia nzima inamtizama messi dah
kumbee naeee umeonaa mkuuHio penalty aisee kumbe waamuzi wa bongo tunawaonea tu
Refa kaona aibu kwenda kwenye VAR ingemuumbuakumbee naeee umeonaa mkuu
Muda mudaa acha uongee mbapee asipeweka npooo hapaa nimekaaa mkuu ila hata mess akichukua ubingwaa haki anastahihili mkuuBasi utakuwa muujiza maana.
Ndio utapata Bonge la suprise mnaanza tu kipindi cha Pili mnapigwa goli la tatu na shughuri ndio inaishia hapo.Tulial mkuu France kpnd cha pili anakupa usicho tegemea
Htaaa ckupingii mkuu wanguu,yt ya yt n kumtafutia legend mess umarufu ilaa anastaili ,dogo mbapee akaze hapo alipoRefa kaona aibu kwenda kwenye VAR ingemuumbua
Mpira ndvyo ulivyo mwanaa. Kwan ht kikitokea chcht ww unatasekaa ingali unapambana na hali ykooNdio utapata Bonge la suprise mnaanza tu kipindi cha Pili mnapigwa goli la tatu na shughuri ndio inaishia hapo.
Wajinga Wawili wanapofarijiana inabidi uwaache tu, Ufaransa wenyewe hawajalalamika, na ilibidi alimwe na kadi ya njano refa kamkaushia tu.Wabongo kama wachawi yani penalty ya wazi kabisa mnataka tuanze kubishana
Ina shida ?Hio penalty aisee kumbe waamuzi wa bongo tunawaonea tu
Ufaransa wenyewe hawajalalamika ila wabongo sasa. Imuumbue kitu gani wakati penalty halali kabisaRefa kaona aibu kwenda kwenye VAR ingemuumbua
KabisaaDunia nzima inamtizama messi dah