Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,056
- 10,341
Dah...wadau wapishi habari zenu nilikuwa nauliza hivi frying pan za chapati zile zenye mishikio ya plastiki ngumu za dukani zipi imara hazishiki kutu halafu hivi haya makangio ya chapati yanaotengenezwa huku mitaani ya chuma tupu na haya ya dukani yapi mazuri kwetu sisi tunaopikia kila kitu kutumia gesi kasoro nyama na maharage nashkuru
Kaa mbali na vyombo vya kupikia vyenye aluminium, bati, chuma (metali)ndani yake..ni sumu..visababishi saratani....
Hadi leo hii tafiti haziona nafuu yoyote kwa vyombo vya kupikia vyenye metali ndani yake...
Ni wachache watakujulisha hili.... matibabu ya saratani ni ghali...na vyombo vya kupikia vyenye metali ni ghali pia...