Kwa hiyo huyu Mhariri wa gazeti anataka kutwambia hao Marais ambao picha zao zimewekwa hapo ndio maadui wa Tanzania? Si ajabu kesho ukasikia huyu Mhariri anateuliwa kuwa balozi kuwakilisha Tanzania nchi za nje!!!!
Tiba

Kwa hiyo huyu Mhariri wa gazeti anataka kutwambia hao Marais ambao picha zao zimewekwa hapo ndio maadui wa Tanzania? Si ajabu kesho ukasikia huyu Mhariri anateuliwa kuwa balozi kuwakilisha Tanzania nchi za nje!!!!Tiba
Kaka angalia thread yangu utaelewa maana yake nini.kuna jambo kubwa limetokea ila wanajaribu kulificha
Mkuu achana na gazeti hili hopeless kabisa......hebu nenda hapa kuna member anaponda home kwenu!
https://www.jamiiforums.com/habari-...ogwa-na-nani-mji-wa-bukoba-umekanda-sana.html
Kaka angalia thread yangu utaelewa maana yake nini.kuna jambo kubwa limetokea ila wanajaribu kulificha
Kaka angalia thread yangu utaelewa maana yake nini.kuna jambo kubwa limetokea ila wanajaribu kulificha
Ukisikia mgema tembo ukilisifia hulitia maji basi ndiyo inatokea Tanzania kwa sasa.
Sidhani kama exhibition ya army tools inatosha kupima uwezo wa jeshi kupigana, kuna mambo mengi ya kuangalia pia ikiwemo Technical skills,.
Mimi mwenyewe nimesitushwa sana na picha hizo bora wageweka tu hayo maneno na kuacha kuweka picha! wakat banda alikuwepo kwa sherehe n.k
Imenisikitisha sana.