Mwanahalisi limefungiwa TanzaniaKatika free country huwa hawafungii magazeti.
Kama unaona gazeti limeandika sio facts,nenda mahakamani ku li sue.
SHIGONGO ana laana, si bure
Inapotokea mtoto kuchungilia chumbani kwa wazazi wake ni hapo tunapoona Shigongo anapojaribu kuchokoza viongozi wa dini wasiona hatia hizo anazoziandika. Amekosa maadili kwa wazazi wake huyu Shigongo
Kwani 'hao wenzetu' huwa wana viongozi? Wao si wapo tu vimobu mobu kwa ajili ya maandamano na kila kimobu hakikitambui kimobu kingine unless wanakusudia kufanya fujo sehemu.
SHIGONGO ana laana, si bure
Baba msamehe mwandishi wa habari wa habari hii kwa maana hajui atendalo.
Shigongo anauza unga ni dealer wa siku nyingi aache kuzuga kutafuta watu ubaya kama anabisha aape mbele za Mungu afe kama kweli hauzi unga
Kabisa! madogo yana nafuu.Mh... Mabwaku!!!!
Wakatoliki na jamii ya Wakristu huwa ni watu wa amani. Ingekuwa ni wenzetu wameandikwa ungekuta Shigongo leo anachomewa nyumba. Katoliki ni dhehebu la viongozi wa wasomi wanaofuata kanunu na sheria za kanisa na za nchi husika.
Wa2 wamagazet ifike mahali mcjiachie sana ksa pesa huo n uchonganish kwa jamii na imani.
Baba gani tena?????
Abba ie Yahweh