Uwazi lipo kwenye nafasi nzuri ya kupasua jipu.
...........................................................................................
Hata hivyo, hivi karibuni, Uwazi lilifanikiwa kuzungumza na mmoja wa vigogo wa jeshi la polisi nchini,
...........................................................................................
"Labda mimi nipasue jipu kwamba jina la Pengo halionekani katika orodha ya viongozi wa dini wanaochunguzwa
mmmh, ni vigumu sana kufikia conclusion za namna hii kwa kusoma title ya gazeti la uwazi. Usishangae ukifungua ndani ukaona wanamwongelea Pengo ambaye ni msukuma mkokoteni wa Morogoro. Ndiyo maana mimi huwa hata sichunguliii haya magazeti.Inapotokea mtoto kuchungilia chumbani kwa wazazi wake ni hapo tunapoona Shigongo anapojaribu kuchokoza viongozi wa dini wasiona hatia hizo anazoziandika. Amekosa maadili kwa wazazi wake huyu Shigongo
Magazeti ya UDAKU siku zote yanaongoza kwa mauzo.
anakoeleka kubaya
laana ya viongozi wa dini ni mbaya kuliko laana ya mzazi
mind you mtaona mwisho wa Shigongo na kampuni yake.kanisa
sidhani kama watakuwa na muda wa kuargue na wachumia tumbo kama hawa
sala zao zinatosha kutoa majibu
Wakatoliki na jamii ya Wakristu huwa ni watu wa amani. Ingekuwa ni wenzetu wameandikwa ungekuta Shigongo leo anachomewa nyumba. Katoliki ni dhehebu la viongozi wa wasomi wanaofuata kanunu na sheria za kanisa na za nchi husika.
Kiongozi wa hao wenzetu hawezi kuuza unga ila kwa viongozi kama hawa mbona kawaida?
Ukipambana na Serikali hii lazima upate hayo!!
Tumbo huwenza
kumfanya mtu akawa kama punguani. Na huyo ndio E J Shigongo. Akili
kaweka mfukoni.
Serikali inasubiri nini kulifungia kwa muda usiojulikana kwa kuandika mambo wasiyokuwa na uhakika nayo.Maana hii pia ni aina ya kutaka kusababisha uvunjifu wa amani,ni uchochezi
Shigongo hana tofauti kubwa na Clouds Radio.
Kuna watu wana roho ngumu kushinda jiwe