VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Kiwanda cha Ryvid kutoka California, kimeingia sokoni nchini Rwanda, kwa ajili ya muazo ya pikipiki zitumiazo nishati ya umeme.
Bei zake ni kama ifuatavyo:
1. Ryvid Anthem $7,995,
2. Ryvid OUTSET $7,495.
Matajiri karibuni
Bei zake ni kama ifuatavyo:
1. Ryvid Anthem $7,995,
2. Ryvid OUTSET $7,495.
Matajiri karibuni