Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Ruttashobolwa ame dedicate hii nyimbo kwa mpenzi wake wa kumoyo,kaniomba niirushe hapa kwa niaba yake:
oh Madame B,
oh Madame B,
umenigeuza shamba la bibi,
sina tena kitambi,
kama zamani sitambi,
Chimbuvu katia kambi,
Chibolo katia kambi,
mbele yao sitambi,
ila ujue Madame B,
nakupenda kuliko chips na tambi.
oh Madame B,
oh Madame B,
umenigeuza shamba la bibi,
sina tena kitambi,
kama zamani sitambi,
Chimbuvu katia kambi,
Chibolo katia kambi,
mbele yao sitambi,
ila ujue Madame B,
nakupenda kuliko chips na tambi.
Last edited by a moderator: