TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,142 Reaction score 12,871 Sep 22, 2011 #1 Naona Mhishimiwa Rahisi yuko njema kwenye hizi pozi za Piiis...
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Sep 22, 2011 #2 hahahaha maybe he is saying TWO
shegaboy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 213 Reaction score 34 Sep 22, 2011 #3 hiyo ni alama ya mabadiliko bwana peoplessssssssssssss
i411 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 906 Reaction score 297 Sep 22, 2011 #4 bankers wanataka posho yao pia kutoka shamba la bibi
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Sep 22, 2011 #5 i411 said: bankers wanataka posho yao pia kutoka shamba la bibi Click to expand... kwa hiyo kamchango kanatoka bongo kazi kweli kweli..
i411 said: bankers wanataka posho yao pia kutoka shamba la bibi Click to expand... kwa hiyo kamchango kanatoka bongo kazi kweli kweli..
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Sep 22, 2011 #6 du kweli mabadiliko yapo njiani mpaka 2015 atanyanyua juu hiyo peopleeeeeeeeeeeeeeeees powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
du kweli mabadiliko yapo njiani mpaka 2015 atanyanyua juu hiyo peopleeeeeeeeeeeeeeeees powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Sep 22, 2011 #7 Duh mbaya kabis ahiyo bado atanyanyua kamkono kabisa
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 21,043 Reaction score 53,949 Sep 22, 2011 #8 anaikubali CHADEMA kiaina
Kabembe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2009 Posts 2,596 Reaction score 1,812 Sep 22, 2011 #9 The nutcase thinks the Americans loves him kumbe they just use him simply because he is cheap,just for two or three pairs of suits he can offer them half of TZ land.
The nutcase thinks the Americans loves him kumbe they just use him simply because he is cheap,just for two or three pairs of suits he can offer them half of TZ land.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Sep 22, 2011 #10 nataka niwaachie hawa pplz nikitamka wana magamba wataniua we angalia vidole vyangu utanielewa!
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 10,020 Reaction score 5,832 Sep 22, 2011 #11 mtu muongo utamjua tu.akiwa anaoongea hakwangalii machoni....
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,142 Reaction score 12,871 Sep 22, 2011 Thread starter #12 Edson said: mtu muongo utamjua tu.akiwa anaoongea hakwangalii machoni.... Click to expand... Ayaaa, mkuu kuna swali nilikuwa najiuliza kuhusu tabia ya Ndugu Rahisi kukwepa direct eye contact... Kumbe ni kwa sababu ya usanii.com!!!!
Edson said: mtu muongo utamjua tu.akiwa anaoongea hakwangalii machoni.... Click to expand... Ayaaa, mkuu kuna swali nilikuwa najiuliza kuhusu tabia ya Ndugu Rahisi kukwepa direct eye contact... Kumbe ni kwa sababu ya usanii.com!!!!