From my files: Mbwembwe, raha na manjonjo ya kitandani

Leo baada ya kumaliza mlo wa mchana nikawa nimekaa napunga upepo kabda ya kurudi tena kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa hili changa. Akapita mwanamke mmoja aliyefanana sana na mmoja ya wapenzi wangu wa zamani. Amemfanana kila kitu, kuanzia umbo, sura, mwendo hadi rangi ila sauti tu ndio sikubahatika kuisikia.

Ikanijia kumbukumbu yoote kuhusu mapenzi yetu na aliyekua sweetie wangu Mariana. Ikaja kumbukumbu hasa ya kwenye 6*6.Niliwaza mengi ila mija la kuvutia hadi nikaandika kisa hiki ni kwamba; Ilianza kama utani tu tukiwa katikati ya shughuli na baada ya kupewa manjonjo ya kufa mtu nikajikuta tusi limenitoka tu '......manina mtoto unajua ku.....mbana'. Baada ya hapo akanambia don't stop pls endelea kunitukana.

Nilidhani nimemkera lakini aliendelea kusisitiza nimtukane huku akijituma kupita kiasi. Nikaona isiwe tabu nikaanza kufungulia matusi ya nguoni mazito mazito na yeye akawa anazidi kupandisha mzuka mpaka alipofika climax. Ikawa sasa ndio utaratibu wetu, game ikikolea lazima nimvurumishie matusi ya kila aina na ilikua ni very big turn on kwake na mimi sikuwahi kumuuliza kwanini anapenda hivyo maana najua kila mtu ana namna yake ya intimacy and ecstasy. Pengine mwanzo nilikua sijaigundua na yeye hakuwahi kuniambia before

Ni mwaka wa sita sasa toka nilipokutana nae kwa mara ya mwisho Mlimani city akiwa na familia yake na baada ya salam na mazungumzo mafupi wakati tunaagana akanishika mkono wangu akauminya kwa nguvu kisha akaninong'oneza 'Ses unipigie simu unitukane plz'. Nilitabasamu and to tell the truth, I was aroused kwa statemet yake hiyo but there was nothing I could do

Mambo yote kuhusu Mariana yalinijia kama vile yametokea jana tu kumbe ni miaka kadhaa sasa imepita na nayasema hayo kwasababu sasa ni unclassified na hayana madhara kwa yeyote kati yetu. Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi
Mungu anaponya..!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Yaani, sipo tayari kutake risk, nilianza kujaribu, nikatoa kama mawili hivi, nikaulizwa umelewa? nikajua kitachofuata hapa ni kupigwa chini, nikabadili gia angani.
Hahahaaa. Umeonaeeee.

Mie naona waliozoweshana kuanzia mwanzo hao waendelee tu kwa kweli sababu kuanza ghafla ghafla tu ndio mwanzo wa kujikuta unazabwa hata kibao.
 
Leo baada ya kumaliza mlo wa mchana nikawa nimekaa napunga upepo kabda ya kurudi tena kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa hili changa. Akapita mwanamke mmoja aliyefanana sana na mmoja ya wapenzi wangu wa zamani. Amemfanana kila kitu, kuanzia umbo, sura, mwendo hadi rangi ila sauti tu ndio sikubahatika kuisikia.

Ikanijia kumbukumbu yoote kuhusu mapenzi yetu na aliyekua sweetie wangu Mariana. Ikaja kumbukumbu hasa ya kwenye 6*6.Niliwaza mengi ila mija la kuvutia hadi nikaandika kisa hiki ni kwamba; Ilianza kama utani tu tukiwa katikati ya shughuli na baada ya kupewa manjonjo ya kufa mtu nikajikuta tusi limenitoka tu '......manina mtoto unajua ku.....mbana'. Baada ya hapo akanambia don't stop pls endelea kunitukana.

Nilidhani nimemkera lakini aliendelea kusisitiza nimtukane huku akijituma kupita kiasi. Nikaona isiwe tabu nikaanza kufungulia matusi ya nguoni mazito mazito na yeye akawa anazidi kupandisha mzuka mpaka alipofika climax. Ikawa sasa ndio utaratibu wetu, game ikikolea lazima nimvurumishie matusi ya kila aina na ilikua ni very big turn on kwake na mimi sikuwahi kumuuliza kwanini anapenda hivyo maana najua kila mtu ana namna yake ya intimacy and ecstasy. Pengine mwanzo nilikua sijaigundua na yeye hakuwahi kuniambia before

Ni mwaka wa sita sasa toka nilipokutana nae kwa mara ya mwisho Mlimani city akiwa na familia yake na baada ya salam na mazungumzo mafupi wakati tunaagana akanishika mkono wangu akauminya kwa nguvu kisha akaninong'oneza 'Ses unipigie simu unitukane plz'. Nilitabasamu and to tell the truth, I was aroused kwa statemet yake hiyo but there was nothing I could do

Mambo yote kuhusu Mariana yalinijia kama vile yametokea jana tu kumbe ni miaka kadhaa sasa imepita na nayasema hayo kwasababu sasa ni unclassified na hayana madhara kwa yeyote kati yetu. Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi
Nashangaa wanasema nyama ni ileile wakati radha ni tofauti kabisaa na wanalijua hilo..
 
Hahahaaa. Yale makali bado aiseeee.

Nahisi ntavunja mpambano kwanza niulize nini anamaanisha [emoji85] halafu ndio tuendelee.
Haujakolezwa ww! huo muda wa kuuvunja mtanange uupate wapi sasa wakati huo unayamani ulie na ucheke kwa wakati mmoja!
 
Jamani Mbalizi sio kwa kuniambia neno kali hivyo lol.

Kwani kukojoz*a mpaka kutoa mijitusi. Nauvunja kwa kweli sababu ntashindwa kuelewa ndio maraha yamezidi ama anapata maumivu hivyo anaona ni bora anitusi.
 
Back
Top Bottom